Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Ukiona hivyo ujue you guys don't match, mpo pamoja kwa sababu fulani hasa ngono, zaidi ya hapo hakuna cha kuwafanya muwe pamoja..so hakuna stories baina yenu

Mbona Atoto anaongea hadi namwambia basi mama tulale sasa🤣🤣
Au unapitiliza usingizini unaniacha naongea mwenyewe🤣🤣🤣
Ipo siku nitakuzaba kibao!
 
Sikupingi kabisaaaa.. 💯
 
Uko wapi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…