Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
😹😹 jitahidi kutembea kwa tahadhari.!!Bila hela unaweza ukakanyaga vitu vya watu wakuee kisa Huna pesa ya kulipa
Momy yup poa kabisa sijui wewe
Aisee msalimie sana nimemmiss
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😹😹 jitahidi kutembea kwa tahadhari.!!Bila hela unaweza ukakanyaga vitu vya watu wakuee kisa Huna pesa ya kulipa
Momy yup poa kabisa sijui wewe
Upendo huo wenzio km mleta uzi anautamani haupatiDah ni Kwa vile najua yote haya ni sababu ya upendo ila Kwa asiyejua ataona ni bughudha fulani'.
You know, women sometimes term themselves as products , and this girl thought it was a hood idea telling us her a.s.s is made in angola. You know Portugees you are in…VOILAWhat is this??
Hata mimi sipendi mwanamke mwongeaji! Hata hivyo na mimi sio mwongeaji! Ukiwa na swagger tu inatosha!😹😹😹 wanaume wanafki anakwambia usiongee sana muda huo analalamika mbona mkimya sana.!!
Hawaeleweki hata tusijichoshe
Au unapitiliza usingizini unaniacha naongea mwenyewe🤣🤣🤣Ukiona hivyo ujue you guys don't match, mpo pamoja kwa sababu fulani hasa ngono, zaidi ya hapo hakuna cha kuwafanya muwe pamoja..so hakuna stories baina yenu
Mbona Atoto anaongea hadi namwambia basi mama tulale sasa🤣🤣
Mwanzo wa burudaniUkaleta na uzi kabisa.
Aisee autafute haraka sanaUpendo huo wenzio km mleta uzi anautamani haupati
Duh😳Au unapitiliza usingizi unaniacha naongea mwenyewe🤣🤣🤣
Ipo siku nitakuzaba kibao!
Sikupingi kabisaaaa.. 💯Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Hongera mkuu, eeh hizo swagger km zipi em orodhesha nioneHata mimi sipendi mwanamke mwongeaji! Hata hivyo na mimi sio mwongeaji! Ukiwa na swagger tu inatosha!
Uko wapi......Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
ASante kuna mabwege nilikuwa nayaweka sawaPole🥹
Na mm apaa✋✋✋Upendo huo wenzio km mleta uzi anautamani haupati
kwahiyo kwenye mahusiano mtajadili subaruArusha kuna dada mmoja pisi kali aliichambua subaru kuanzia horse power, oil, rim size hadi aina ya engine. Aisee nilinyoosha mikono.
Nilibaki nimetoa macho tu.