Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Hujakutana na viredio
1000011389.jpg
 
Kinacho nikera zaidi ni vile anakupigia au anatuma sms mara 3 hadi 5 kwa siku alafu baada ya salamu utasikia "Niambie" 🤔 sasa nakuambia nini na wewe ndio umenitafuta 🤔
Mwambie , kwani huna cha kumwambia?

Usipomwambia wauni tutamwambia.
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Hujapata Mzaramo wewe.
 
Wewe ndio mzembe umeshindwa kumwongelesha mbona huwa wanaongea vizuri tu

Muulize maswali mazuri yatakayomfanya ajieleze utaona anavyofunguka

Vijana mnakosa contents mnawasingizia mabinti
suala sio wao kuongea sana, hapana

suala ni wanachoongea

kutokuwa na content ni ile anaongea vitu ambavyo havikuvutii
 
Back
Top Bottom