Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia akili, Ningekuwa mwongeaji nisingelalamika.We sema tu una mdomo sana ila unajibalaguza hapa, na itakuwa wanakuchora tu kwamba mwanaume gani anaongea namna hii
🤣🤣🤣Ndugu yangu🙌Kukojoleana🤣🤣🤣🤣
Mno yani hakuna watu wambea kama wapenzi😁Safi sana tena ukianza story zenye umbea anatega sikio kwa utulivu sana 😅😅😅
Mwambie , kwani huna cha kumwambia?Kinacho nikera zaidi ni vile anakupigia au anatuma sms mara 3 hadi 5 kwa siku alafu baada ya salamu utasikia "Niambie" 🤔 sasa nakuambia nini na wewe ndio umenitafuta 🤔
Hujapata Mzaramo wewe.Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.
Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.
"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Hili neno lina ka vibe🤣🤣🤣Ndugu yangu🙌
Ndio.wakiwa nondo kwenye hayo mambo, baadhi yetu tunawakataa.
Utasikia mwanamke gani anajua kila kitu.
😂😂"NIAMBIE "
Hiyo siku hizi tumeacha tumelevel up, ss hivi “Mume nimekumiss nikukumbatie ila ukikaribia kufika nishtue”Bebii nikuambie kitu😁😁😁😁
Nyie muambieni tuu wala sijali si mnajikuta mmekua wahindiMwambie , kwani huna cha kumwambia?
Usipomwambia wauni tutamwambia.
Nakuona,sikuhizi uhuni wako unazidi mpaka likes zako🥴Hili neno lina ka vibe
😅😅😅mnoooMno yani hakuna watu wambea kama wapenzi😁
Upo kama mimi ,wanawake anaejua vitu vingi mzuri sana ,tubishane .Ndio.
Ila sidhani kama mleta mada ni moja kati ya hao watu, na huu uzi umelenga wanaume tunaopenda wanawake wajuaji
😁😁😁 mambo ya chini ya kitovu sio mchezo.Nakuona,sikuhizi uhuni wako unazidi mpaka likes zako🥴
sawima huyo😅Upo kama mimi ,wanawake anaejua vitu vingi mzuri sana ,tubishane .
Ukiona katulia wewe unajua hakuzingatii, kumbe kuna points zake za msingi anachukua 😹😹😹Safi sana tena ukianza story zenye umbea anatega sikio kwa utulivu sana 😅😅😅
suala sio wao kuongea sana, hapanaWewe ndio mzembe umeshindwa kumwongelesha mbona huwa wanaongea vizuri tu
Muulize maswali mazuri yatakayomfanya ajieleze utaona anavyofunguka
Vijana mnakosa contents mnawasingizia mabinti