Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kinacho nikera zaidi ni vile anakupigia au anatuma sms mara 3 hadi 5 kwa siku alafu baada ya salamu utasikia "Niambie" ๐Ÿค” sasa nakuambia nini na wewe ndio umenitafuta ๐Ÿค”
Mwambie , kwani huna cha kumwambia?

Usipomwambia wauni tutamwambia.
 
Hujapata Mzaramo wewe.
 
Safi sana tena ukianza story zenye umbea anatega sikio kwa utulivu sana ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Ukiona katulia wewe unajua hakuzingatii, kumbe kuna points zake za msingi anachukua ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Ila umbea wa wapenzi mtamu awww ๐Ÿฅฐ yani mkimaliza lazima mshtue na kimoko kukazia umbea ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Wewe ndio mzembe umeshindwa kumwongelesha mbona huwa wanaongea vizuri tu

Muulize maswali mazuri yatakayomfanya ajieleze utaona anavyofunguka

Vijana mnakosa contents mnawasingizia mabinti
suala sio wao kuongea sana, hapana

suala ni wanachoongea

kutokuwa na content ni ile anaongea vitu ambavyo havikuvutii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ