Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahahaah kabisaMwanamke akiwa anampenda mwanaume Huwa anaongea kama redio.
Mimi Huwa ninazima TV na simu ili nimpe Uhuru ya kuongea.
Siyo kwamba napenda umbea isipokuwa ninamfurahisha Kwa kumpa Uhuru wa habari.
Sasa hivi hapa nimemuomba break maana tumeongea nusu saa kwenye simu na bado hajamaliza.
Wapendanao hupigiana umbea. Kama umbea hamna basi upendo haupo!
Umeonaeeπ€£Ahahahaah kabisa
Ahaaaaa apo sawa mkuu, naskiaga akikupenda sanaaaa anakuwa mwoga wa stry piaa πͺπͺAsipokuwa hivyo basi bado hajakuzoea. Msemo wa wapenzi ni wambea unatokana na mwanawake akikupenda.
Huyu bado ajajua nn anatakiwa kufanyaUmeonaeeπ€£
Hapo umesema, ukiona una mwanamke hampigi umbea wala hafurahii uwepo wako ujue kuna mwanaume mwingine anampenda na kumfikiria.!!Mwanamke akiwa anampenda mwanaume Huwa anaongea kama redio.
Mimi Huwa ninazima TV na simu ili nimpe Uhuru ya kuongea.
Siyo kwamba napenda umbea isipokuwa ninamfurahisha Kwa kumpa Uhuru wa habari.
Sasa hivi hapa nimemuomba break maana tumeongea nusu saa kwenye simu na bado hajamaliza.
Wapendanao hupigiana umbea. Kama umbea hamna basi upendo haupo!
Nani tena?Huyu bado ajajua nn anatakiwa kufanya
Kabisa nakaziaHapo umesema, ukiona una mwanamke hampigi umbea wala hafurahii uwepo wako ujue kuna mwanaume mwingine anampenda na kumfikiria.!!
Mkiwa mnapendana story hazijawahi kuisha
Usiwe serious sana kiongozi ipo siku atakuamkia shikamoo baba nanii ππAhaaaaa apo sawa mkuu, naskiaga akikupenda sanaaaa anakuwa mwoga wa stry piaa πͺπͺ
MmmhMimi huwa sio mzungumzaj sana,mwanamke anaponizoea inabid yeye ndo awe mzungumzaj zaid
Hata hvyo kiujumla wanawake hawana cha muhimu zaid ya kutunza nyumba na watoto wadogo
Endelea na kilimo mkuu, mapenzi tuachie sisi...πJustify mkuu
Mtoa madaNani tena?
Kitu ambacho siwezagi ni kuchekacheka mm, lakin najikutaga nikiongea lazima wacheke hata kama mm mana hakichekeshiiiUsiwe serious sana kiongozi ipo siku atakuamkia shikamoo baba nanii ππ
Vp mkuu amekugusa nnUkaleta na uzi kabisa.
Hapo umesema, ukiona una mwanamke hampigi umbea wala hafurahii uwepo wako ujue kuna mwanaume mwingine anampenda na kumfikiria.!!
Mkiwa mnapendana story hazijawahi kuisha
Au sioo πππEndelea na kilimo mkuu, mapenzi tuachie sisi...π
Ahaaa. Ameshaelewa sasaMtoa mada
Mwachi upo mdogo wangu?Kabisa nakazia