Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Mwanamke akiwa anampenda mwanaume Huwa anaongea kama redio.

Mimi Huwa ninazima TV na simu ili nimpe Uhuru ya kuongea.

Siyo kwamba napenda umbea isipokuwa ninamfurahisha Kwa kumpa Uhuru wa habari.

Sasa hivi hapa nimemuomba break maana tumeongea nusu saa kwenye simu na bado hajamaliza.

Wapendanao hupigiana umbea. Kama umbea hamna basi upendo haupo!
Ahahahaah kabisa
 
Hapo umesema, ukiona una mwanamke hampigi umbea wala hafurahii uwepo wako ujue kuna mwanaume mwingine anampenda na kumfikiria.!!
Mkiwa mnapendana story hazijawahi kuisha
 
Back
Top Bottom