Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahahaah kabisaMwanamke akiwa anampenda mwanaume Huwa anaongea kama redio.
Mimi Huwa ninazima TV na simu ili nimpe Uhuru ya kuongea.
Siyo kwamba napenda umbea isipokuwa ninamfurahisha Kwa kumpa Uhuru wa habari.
Sasa hivi hapa nimemuomba break maana tumeongea nusu saa kwenye simu na bado hajamaliza.
Wapendanao hupigiana umbea. Kama umbea hamna basi upendo haupo!