Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

😂😂😂 si ndio hapo.!!
Hajakutana na wambea, yani mi babe wangu mpk anachoka mana taarifa zote ninazo sio za siasa sio za udaku ni yeye kuchagua tuanze na ipi??
Sijawahi kosa content hata yanayoendelea kwenye familia yao ninayo.!!
Tunafanana sana 😅😅mtu naongea mara 2 kila siku ila sikosi story, tukianza kujadili pipo sasa 😅😅 aroo mpk simu izime, niligundua wanaume wanpenda umbea haijalishi umri au ana hadhi gani, kuna siku nimetoka kwa msuguri kwa mguu mpaka mbezi mwisho naongea tu😅😅😅
 
Kiufupi, nimebahatika kuingia kweny mahusiano na baadhi ya wanawake, kitu kimoja nilichokuja kugundua ni kwamba wengi wao hawana content, ni weupe, mfano mtu anakupigia, baada ya kusalimiana na kujuliana hali anakaa kimya, anategemea wewe ndo uendeleze mazungumzo, haya sawa bac unaanza kumzungumza nae unampigisha story mbili tatu, sasa kuna muda na wewe upepo unakata unategemea na yeye aendeleze, cha kushangaza na yeye anakaa kimya, It's very frustrating.

Scenario nyingine ni kweny mitoko, aisee au ni mm tuu nakutana na wanawake hawana content, demu unamtoa out kuanzia mnakutana hadi unamrudisha naongea mm tuu, sio kweli.

"Control your lust, and you will understand how boring 90% of women are"
Mimi na wangu tunaongea sana, minimum ni dakika 40
 
Wiki ijayo nenda na nondo za Water Rodney, "How Europe underdeveloped Africa". Ukitoka hapo mpige na ujenzi wa SGR lot 5. Ukitoka hapo muulize kuhusu report ya Mkaguzi wa hesabu za serikali. Akitoka hapo hana hamu na wewe.

Wale wa kampeni ya kataa ndoa hapa washapata pa kukazia.
Hatochangia chochote atakaa kimya tuu.
Kuna siku alinipigia baada ya salamu akakaa kimya, mi nikaanza kumpigisha story za kazini, bhana hakuchangia chochote, nikabadilisha nikaanza kuongea story za coding and designing bado kimya, haya nikaja kuongea mambo ya research ninazofanyaga ndo kabisa akawa anaitikia tuu "enhe, aah kumbe, duuuh" niliishiwa nguvu.
 
Wapo shallow, yaani hawajui mambo mengi, na hilo linawafanya wawe wabovu kwenye mazungumzo.

Siku hizi imekuwa kawaida wanawake kufuatilia michezo, lakini sana sana mpira tu, michezo mingine kapa...

Siasa, uchumi, maendeleo kapa....

Filamu kapa.... eti jua kali, jua kali ndo nini?

Kiufupi unazungumza nao kama unavyozungumza na watoto.... utani utani, kuchekeshana, basi.
Hia Jua kali umepiga kweny mshono
 
😂😂😂 si ndio hapo.!!
Hajakutana na wambea, yani mi babe wangu mpk anachoka mana taarifa zote ninazo sio za siasa sio za udaku ni yeye kuchagua tuanze na ipi??
Sijawahi kosa content hata yanayoendelea kwenye familia yao ninayo.!!
Kuna siku nilimpa mpenzi wangu simu, nilivokuja kuingia insta kweny ile sehemu ya ku-search nikakuta ameingia kweny page zote za mastaa wa bongo, yaan mastaa wote unawajua wewe, nahic hizo ndo content zenu
 
Wapo shallow, yaani hawajui mambo mengi, na hilo linawafanya wawe wabovu kwenye mazungumzo.

Siku hizi imekuwa kawaida wanawake kufuatilia michezo, lakini sana sana mpira tu, michezo mingine kapa...

Siasa, uchumi, maendeleo kapa....

Filamu kapa.... eti jua kali, jua kali ndo nini?

Kiufupi unazungumza nao kama unavyozungumza na watoto.... utani utani, kuchekeshana, basi.
wakiwa nondo kwenye hayo mambo, baadhi yetu tunawakataa.
Utasikia mwanamke gani anajua kila kitu.
 
Tunafanana sana 😅😅mtu naongea mara 2 kila siku ila sikosi story, tukianza kujadili pipo sasa 😅😅 aroo mpk simu izime, niligundua wanaume wanpenda umbea haijalishi umri au ana hadhi gani, kuna siku nimetoka kwa msuguri kwa mguu mpaka mbezi mwisho naongea tu😅😅😅
Mimi tulikuwa tukianza kuongea hatuchoki mpk kuna siku ilifika saa 12 asubuhi ikabidi kila mmoja ajiandae kwenda job, tumepiga umbea mwisho tumenyegeshana tumekisiana na bado story hazijaisha.!! 😹😹😹

Huyu sijui anamdate malaika gani??
Tena wanaume umbea huwaambii kitu huko vijiweni wanajifanya hawapendi Ila miongo.!!
 
Mkishachokana ndo hatua mnapofikia.....mtaongea nini....at least mkiwa na malengo ya kuishi pamoja mtaongelea mipango mingi ya sasa na baadae....sasa mmekutana mkojoleane tu then unataka mazungumzo yenye content ndani yake😳....we bhana we,mie ukipiga simu ukasubiri niseme haloo,bas tutapumuliana humo kwa simu mpaka bas
 
Mimi tulikuwa tukianza kuongea mpk kuna siku ilifika saa 12 asubuhi ikabidi kila mmoja ajiandae kwenda job, tumepiga umbea mwisho tumenyegeshana tumekisiana na bado story hazijaisha.!! 😹😹😹

Huyu sijui anamdate malaika gani??
Tena wanaume umbea huwaambii kitu huko vijiweni wanajifanya hawapendi Ila miongo.!!
Safi sana tena ukianza story zenye umbea anatega sikio kwa utulivu sana 😅😅😅
 
Mkishachoka ndo hatua mnapofikia.....mtaongea nini....at least mkiwa na malengo ya kuishi pamoja mtaongelea mipango mingi ya sasa na baadae....sasa mmekutana mkojoleane tu then unataka nazungumzia yenye content ndani yake😳....we bhana we,mie ukipiga simu ukasubiri niseme haloo,bas tutapumuliana humo kwa simu mpaka bas
Kukojoleana🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom