Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Kusema ukweli, wanawake wengi hawana content

Halafu kitandani anapiga story Hadi ninasinzia. Akihisi simsikilizi ananitikisa niamke daah story tamu na kausingizi ni hatari.
Kuna ile anaumwa mnapiga story usingizi unakupitia anakuamsha utasikia mimi naumwa af wewe unalala au mm naongea wewe unalala kuna raha yake
 
Mimi kwa kipindi nilichokaa na wanawake nimegundua wanapenda mambo haya

Gossiping - Umbea

Trending (showbiz) mambo yanayovuma na kufuta mkumbo.

Free money - hela za bure

Affection - upendo.

To hold grudge and negativity- kuhifadhi chuki na kuwa negative.


So mwanamke ukifanikiwa Ku-deal naye katika hizo angles basi atakuwa rafiki yako Sana .

So muda wangu mwingi huwa nautumia kumfundisha my BUU kuwa positive na kupenda watu.
Huyo wako atakua mchawi
Cc : ephen_
 
Back
Top Bottom