Kula chuma hikoAcha hasira waamini mastraika wetu hatari kama Papaaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa watatuvusha salama ligi kuu ni yetu na mwakani tutashiriki shirikisho au ikishindakana kabisa tutashiriki mashindano ya ramadhani cup.
Inaumiza sana mkuu.....ni hujumaaa[emoji24][emoji24][emoji23]Acha hasira waamini mastraika wetu hatari kama Papaaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa watatuvusha salama ligi kuu ni yetu na mwakani tutashiriki shirikisho au ikishindakana kabisa tutashiriki mashindano ya ramadhani cup.
Muda wote alikuwa anatukana na kufyonya huku akitaja jina la Fred. Sasa nikamuomba 30 to 45 minutes after mpira kuisha, anicheki ili kucomfirm kama Yuko salama.Ulimuomba Nini mkuu [emoji23][emoji23]
. unfortunately Kalpana Alifaint Jana Baada mpira kuisha .....Kwa taarifa za awali naskia bado hajaamka ....yupo hospital ya kibondo kule kigoma
Ndo hivyo mkuu....tuombee aamke .....coz Kwa taarifa za kijasusi ....ni Kwamba madam kalpana yupo unconditionalMuda wote alikuwa anatukana na kufyonya huku akitaja jina la Fred. Sasa nikamuomba 30 to 45 minutes after mpira kuisha, anicheki ili kucomfirm kama Yuko salama.
Ila naona kimya mpaka muda huu. [emoji28]
Tuliza wenge mkuuMaoni ya wadau
Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando
mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba
Ni mawazo yangu lakini..
Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Acha kuzushia watu kifo msenge wewe! Ushabiki wa mpira usikufanye kua fala fala na kuzushia watu, we kumah nini.Ulimuomba Nini mkuu [emoji23][emoji23]
. unfortunately Kalpana Alifaint Jana Baada mpira kuisha .....Kwa taarifa za awali naskia bado hajaamka ....yupo hospital ya kibondo kule kigoma
Ikawe heri kwake aisee. Itabidi nimshauri aachane na Simba kwa sasaNdo hivyo mkuu....tuombee aamke .....coz Kwa taarifa za kijasusi ....ni Kwamba madam kalpana yupo unconditional
hili nalo litapitaMaoni ya wadau
Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando
mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba
Ni mawazo yangu lakini..
Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Et hela ya kununua mchezaji 1 imeenda kununua wachezaji 4! Kumbe watu wanakula hela za usajili.Tunaoumia ni sisi mashabiki [emoji32]
Icho kibibi kinapenda Simba hatari, ππhili nalo litapita