Kushabikia Tena Simba bye bye

Kushabikia Tena Simba bye bye

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Maoni ya wadau

Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando

mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba

Ni mawazo yangu lakini..

Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?
1712683885020.jpg
 
Acha hasira waamini mastraika wetu hatari kama Papaaa Omary wa Njombe na Fredy Kulwa watatuvusha salama ligi kuu ni yetu na mwakani tutashiriki shirikisho au ikishindakana kabisa tutashiriki mashindano ya ramadhani cup.
 
Inaumiza sana mkuu.....ni hujumaaa[emoji24][emoji24][emoji23]
 
Ulimuomba Nini mkuu [emoji23][emoji23]

. unfortunately Kalpana Alifaint Jana Baada mpira kuisha .....Kwa taarifa za awali naskia bado hajaamka ....yupo hospital ya kibondo kule kigoma
Muda wote alikuwa anatukana na kufyonya huku akitaja jina la Fred. Sasa nikamuomba 30 to 45 minutes after mpira kuisha, anicheki ili kucomfirm kama Yuko salama.

Ila naona kimya mpaka muda huu. 😅
 
Muda wote alikuwa anatukana na kufyonya huku akitaja jina la Fred. Sasa nikamuomba 30 to 45 minutes after mpira kuisha, anicheki ili kucomfirm kama Yuko salama.

Ila naona kimya mpaka muda huu. [emoji28]
Ndo hivyo mkuu....tuombee aamke .....coz Kwa taarifa za kijasusi ....ni Kwamba madam kalpana yupo unconditional
 
Maoni ya wadau

Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando

mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba

Ni mawazo yangu lakini..

Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
Tuliza wenge mkuu

Mashabiki wa arsenal the Gunners wananielewa zaidi 😊😊😊
 
Ulimuomba Nini mkuu [emoji23][emoji23]

. unfortunately Kalpana Alifaint Jana Baada mpira kuisha .....Kwa taarifa za awali naskia bado hajaamka ....yupo hospital ya kibondo kule kigoma
Acha kuzushia watu kifo msenge wewe! Ushabiki wa mpira usikufanye kua fala fala na kuzushia watu, we kumah nini.
 
Maoni ya wadau

Timu yetu ni mbovu manake kama kimataifa tumetoka haya ndo makombe ya ndani yaliyobaki ,lakini cha ajabu wanacheza kama wametoka jando

mpira hamjui mnafany sajir za kiwaki. Hatuwez kutatua matatizo yetu kwa kuamini kuwa Sisi tunateam nzuri bali tutakuw wasindikizaji t, ukweli nikwamba yanga anatim nzuri ya kishindani kila mchezaj akipew namba unaona namna anavyopambana sio simba

Ni mawazo yangu lakini..

Je hakuna kazi nyingine tanaweza kuwapangia hawa wachezaji wa Simba SC Tanzania tofauti na Kucheza mpira?View attachment 2959319
hili nalo litapita
 
Back
Top Bottom