Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Hakuna jipya litakalofanyika kwenye uchunguzi Wa polis, kama tukio LA lissu tu.
 
ingekua vizuri ujikite zaidi kwenye malengo ya nilicho andikwa
Hoja yako ni nzuri sana,ila uandishi ndio tatizo.
. Taalifa...Taarifa
Nashahuli...Nashauri
.Kusubili...Kusubiri
.Maarumu...Maalum
.Kisaikorojia...Kisaikolojia
 
Kama ID yako tu yenyewe imekaa Kipumbavu hivi Wewe pia utaachaje na kukosaje pia kuwa Mpumbavu? Kwahiyo Wapumbavu mnateteana au?
Kwa taarifa yako tu ni kwamba CHERENGANYA ni Kijiji kilichopo Sumbawanga vijijini na ndio nyumbani kwetu.

Leo umeniamsha na deni na mimi siendi kazini na deni Mpumbavu mwenyewe.
 
Mwambieni Mbowe aache ulevi na ufusika ameshazeeka muda umeshaenda anaidharirisha familia yake! KUB unakuwa kwenye club za pombe mpaka SAA 6 usiku??
 
Kama ni mpango basi sawa na magaidi ambao hujilipua . Ni ujasiri wa hali ya juu mtu kupanga uvunjwe miguu kisa kutafuta nafasi ya uongozi . Hebu wewe tukuahidi ukatwe kidole komoja tu cha mkono halafu upewe kuitawala dunia
Mguu umevunjika baada ya kudondoka kwenye ngazi akipanda nyumbani kwake Dodoma kwa sababu ya ulevi na ufusika.
 

Hasa ukijumlisha na yale maandalizi ya ule muswada pendwavwa kujiwekea vizingiti batili ili kuepuka kushitakiwa, hatimaye sasa eti kwa mujibu wa sheria.
 
Hakuna haja ya kufanya uchunguzi kama wachunguzi ni serikali yenyewe. Lakini kama serikali ingekuwa serious kudhibiti matukio haya, basi ingeanza kuwahoji wale wote ambao wamekuwa wakitoa kauli kutaka wapinzani wapigwe na kuuawa.
 
Rais wa Sudan aliye lupango Al Bashir alikuwa na wapambe duni na wajinga kama wewe , kilichomkuta unakijua
Acha upuuzi wa kumfananisha JPM na Al Bashir. Jana kaenda kumsalimia mkuu wenu pamoja na kuwasingizia watu watatu wasiojulikana. Pili JPM sio dikteta wala fisadi.
Mbowe akipona tu mahakamani skendo ya bil 8 ipo palepale.
 
Kwani ni kosa mtu kukaa sehemu mpaka saa sita, jiwe sianatuaminisha sisi ni kisiwa Cha amani jifunze kutumia akili
Hata Mimi nashangaa..
Mbona watu wengine wanakaa Hadi au zaidi ya huo muda na nchi yetu ni nchi huru na ya amani kabisa.
Mimi naona wanatafuta tu visingizio.
 
Ajabu sana. Sikuwepo kwenye tukio lakini naongea kama nilikuwepo. Ile amri ya kutoshuhudia uwongo sijui watu huwa tunaionaje?

Nakumbuka vibaka wengi huvamia watu waliolewa kuliko wale ambao hawajanywa kilevi! Watoto wao wanaona namna mnavyowasingizia na mnavyotukania wazazi wao.

Wananchi wanaona mnavyojipendekeza ili mpate nafasi. Mfano mdogo tu - je, Mbowe angeamua aseme kwamba mmojawapo wa aliyemvamia alikuwa Mheshimiwa Silinde - Stori yake ingekuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…