LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hakuna jipya litakalofanyika kwenye uchunguzi Wa polis, kama tukio LA lissu tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ni nzuri sana,ila uandishi ndio tatizo.
. Taalifa...Taarifa
Nashahuli...Nashauri
.Kusubili...Kusubiri
.Maarumu...Maalum
.Kisaikorojia...Kisaikolojia
Kwa taarifa yako tu ni kwamba CHERENGANYA ni Kijiji kilichopo Sumbawanga vijijini na ndio nyumbani kwetu.Kama ID yako tu yenyewe imekaa Kipumbavu hivi Wewe pia utaachaje na kukosaje pia kuwa Mpumbavu? Kwahiyo Wapumbavu mnateteana au?
Mwambieni Mbowe aache ulevi na ufusika ameshazeeka muda umeshaenda anaidharirisha familia yake! KUB unakuwa kwenye club za pombe mpaka SAA 6 usiku??" Sasa jambo lenyewe (Mbowe kuvamiwa) lina hadithi nyingi ya jinsi lilivyotokea maanake inasemekana jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali, inaniwia ugumu kusema chochote kwa hatua hii lakini...eeh! niseme tu kwamba msichukulie kama watu wanavyoongea, watakaosema hali halisi ni vyombo vya usalama na niwaombe vyombo hivyo vitoe taarifa mapema iwezekanavyo, waeleze ilitokea nini isiwe ni kazi yangu...wanavyozidi kuchelewa hadithi zinakuwa nyingi "-Spika Job Ndugai.
Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
Mguu umevunjika baada ya kudondoka kwenye ngazi akipanda nyumbani kwake Dodoma kwa sababu ya ulevi na ufusika.Kama ni mpango basi sawa na magaidi ambao hujilipua . Ni ujasiri wa hali ya juu mtu kupanga uvunjwe miguu kisa kutafuta nafasi ya uongozi . Hebu wewe tukuahidi ukatwe kidole komoja tu cha mkono halafu upewe kuitawala dunia
Kwani ni kosa mtu kukaa sehemu mpaka saa sita, jiwe sianatuaminisha sisi ni kisiwa Cha amani jifunze kutumia akili"Maanake inasemekana Jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali"
Hii sentensi ilikuwa na haja gani yeye kuiongea Kama hana uhakika?
Huwa nikimkymbuka huyu jamaa natetemeka kwa woga kwa yajayoJOHN POMBE MAGUFULI
...KUB unakuwa kwenye club za pombe mpaka SAA 6 usiku??
Huyu hawajui wafipa, atatembelea kichwa sasa hiviKwa taarifa yako tu ni kwamba CHERENGANYA ni Kijiji kilichopo Sumbawanga vijijini na ndio nyumbani kwetu.
Leo umeniamsha na deni na mimi siendi kazini na deni Mpumbavu mwenyewe.
" Sasa jambo lenyewe (Mbowe kuvamiwa) lina hadithi nyingi ya jinsi lilivyotokea maanake inasemekana jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali, inaniwia ugumu kusema chochote kwa hatua hii lakini...eeh! niseme tu kwamba msichukulie kama watu wanavyoongea, watakaosema hali halisi ni vyombo vya usalama na niwaombe vyombo hivyo vitoe taarifa mapema iwezekanavyo, waeleze ilitokea nini isiwe ni kazi yangu...wanavyozidi kuchelewa hadithi zinakuwa nyingi "-Spika Job Ndugai.
Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
Hakuna haja ya kufanya uchunguzi kama wachunguzi ni serikali yenyewe. Lakini kama serikali ingekuwa serious kudhibiti matukio haya, basi ingeanza kuwahoji wale wote ambao wamekuwa wakitoa kauli kutaka wapinzani wapigwe na kuuawa.Kwa mawazo yangu sina uhakika kama jeshi la police limemhoji mheshimiwa Mbowe kabla ya kwenda Dar es salaam kwa kuwa mpaka sasa sijaona taarifa yoyote ikionyesha uwepo wa police pale hospitali.
Nasema hivyo nikiwa na maana kwamba, kwa kuwa Mr Mbowe alikuwa anajitambua hivyo kwa umakini wa police ingekuwa vema wakamhoji ili kujua alirudishwa nyumbani na nani?
Alivamiwa muda gani toka waliomrudisha kuondoka?
Hiyo ingesaidia kulinganisha na upelelezi mwingine watakaoupata kwani kama ni kitu cha kutengeneza lazima taalifa zitapishana kwani mtengeneza muvi anakuwa hajajipanga vizuri.
Ila kwa sasa wanweza jipanga kwani wanaona michango ya watu kwenye mitandao nao wanasahihisha makosa kabla ya kuhojiwa
Nashauli police wawe wanafanya maojiano mapema mtu anapopata tazito ili wapate mwanzo wa tukio
Kuliko. kusubili mtu anajipanga namna ya kudanganya.
Wakati wa tukio la Tundu lisu yule dereva alitakiwa awe amehojiwa kabla ya kuondoka, na ndio.maana kwa kutumia udhaifu wa police wakamtorosha mpaka sasa hajahojiwa.
Watengeneze kitengo ambacho kitapata mafunzo maarumu hata kwa wale wanokuwa na tatizo la kisaikorojia.
Taarifa za mwanzo ni muhimu sana.
Muda Fulani muwe na dhamiri HaiAlikuwa bado pombe ipo kichwani huwezi kumuhoji mlevi unasubiri mpaka pombe iishe
Hata walevi wakiumia unataka akamate watu hovyo?Katika maofisa wa polisi watakaofungwa jela Murroto yumo
Acha upuuzi wa kumfananisha JPM na Al Bashir. Jana kaenda kumsalimia mkuu wenu pamoja na kuwasingizia watu watatu wasiojulikana. Pili JPM sio dikteta wala fisadi.Rais wa Sudan aliye lupango Al Bashir alikuwa na wapambe duni na wajinga kama wewe , kilichomkuta unakijua
Hata Mimi nashangaa..Kwani ni kosa mtu kukaa sehemu mpaka saa sita, jiwe sianatuaminisha sisi ni kisiwa Cha amani jifunze kutumia akili