Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Level ya uelewa inaweza kuwa tatizo.Mbona mimi sijaona tatizo hapo
Shilawadyu tu ikul ilijimix sembuse kubAti yamepangwa na ikulu,aise,umeandika utumbo sana,anyway, TL ni dikteta ambaye akiishika nchi,tutaisha,na jamaa ukimwangalia,ni kama kichaa hivi.
Binadamu wabaya sana! Wale wabunge wale! Nimewadharau kabisa. Bora hawakuwa wa jimboni kwangu! Yaani wangese sana sana!Yani Lisu akiongea kwa mara nyingine nadhani kuna mtu atauwawa. mchana kweupe
Na matapishi yalitoka wapi!.........lakini kwa mtu anayemjua vizuri mlevi, kudondoka kwenye ngazi lazima angeumia kisogoni.
Go demeti!!JOHN POMBE MAGUFULI
Zote!watu wa dini ipi?
Uliyaona wewe peke yako?Na matapishi yalitoka wapi!
TUSINGEMUAMINI,ILA ANGEMTAJA LISSU AU LEMA TUNGEMUAMINI.HAYA MAMBO YA KUPIGANA RISASI,KUTEKANA NA KUVUNJANA MIGUU HAYAMPENDEZI MUNGU HATA KIDOGO.Ajabu sana. Sikuwepo kwenye tukio lakini naongea kama nilikuwepo. Ile amri ya kutoshuhudia uwongo sijui watu huwa tunaionaje?
Nakumbuka vibaka wengi huvamia watu waliolewa kuliko wale ambao hawajanywa kilevi! Watoto wao wanaona namna mnavyowasingizia na mnavyotukania wazazi wao.
Wananchi wanaona mnavyojipendekeza ili mpate nafasi. Mfano mdogo tu - je, Mbowe angeamua aseme kwamba mmojawapo wa aliyemvamia alikuwa Mheshimiwa Silinde - Stori yake ingekuwaje?
Tatizo lipo,kwani haijawahi kutokea fisi akamtetea kondooMbona mimi sijaona tatizo hapo
Daktari anasema amevunjika mfupa wa "tibia" mtukuka mheshimiwa spika anasema hajavunjika tumwamini nani?. Chuki inayovuka mipaka hadi kwenye maradhi ni uzandiki. Ndugai alipokwenda kumtakia hali Mbowe ilikuwa ni kumpa pole ama kumdhihaki!" Sasa jambo lenyewe (Mbowe kuvamiwa) lina hadithi nyingi ya jinsi lilivyotokea maanake inasemekana jana mpaka saa sita usiku alikuwa mahali, inaniwia ugumu kusema chochote kwa hatua hii lakini...eeh! niseme tu kwamba msichukulie kama watu wanavyoongea, watakaosema hali halisi ni vyombo vya usalama na niwaombe vyombo hivyo vitoe taarifa mapema iwezekanavyo, waeleze ilitokea nini isiwe ni kazi yangu...wanavyozidi kuchelewa hadithi zinakuwa nyingi "-Spika Job Ndugai.
Siku zote Mwizi huwa na Kiherehere kingi tu cha Kujitetea na Unafiki uliokomaa kwa waliomshtukia au wale ambao wanataka Kumuadhibu akome.
Spika amesema kuwa ripoti wa madaktari wake imethibitisha Mbowe alilewa njwiiiiiii
Daktari anasema amevunjika mfupa wa "tibia" mtukuka mheshimiwa spika anasema hajavunjika tumwamini nani?. Chuki inayovuka mipaka hadi kwenye maradhi ni uzandiki. Ndugai alipokwenda kumtakia hali Mbowe ilikuwa ni kumpa pole ama kumdhihaki!
Sent using Jamii Forums mobile app