Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Kushambuliwa kwa Mbowe: Polisi wasema wanaendelea na Uchunguzi, wapiga marufuku tukio hilo kufanywa la kisiasa. CHADEMA yamuhusisha Mchungaji Mashimo

Viongozi wetu ww dini na wazee wa taifa hili wapo kimya, huu ujinga unaharibu sana umoja na ustawi wa taifa. Mbunge ninatumika pia kufanya mzaha na ujuha kauli za ajabu!? Hii mbegu ya chuki awamu hii inashamiri kwa kasi tuchukue hatua kila mmoja kwa nafasi yake kusema enough !
 
Time will tell
Nkurunzinza generation
 
Mi nilidhani kuna picha ya mtu anaonekana akimnyongorota mguu
 
Viongozi wetu ww dini na wazee wa taifa hili wapo kimya, huu ujinga unaharibu sana umoja na ustawi wa taifa. Mbunge ninatumika pia kufanya mzaha na ujuha kauli za ajabu!? Hii mbegu ya chuki awamu hii inashamiri kwa kasi tuchukue hatua kila mmoja kwa nafasi yake kusema enough !
Taifa linamomonyoka!
 
Swali la ajabu sana! Mbowe inajulikana alikuwa amelewa kabisa, mwambieni aache pombe yeye ni mtu mzima na kwa hadhi aliyonayo hastahili kunywa vile mpaka kitojielewa
Lissu,mawazo,mwangosi walikuwa wamelewa?
 
Jamaa na baba mkwe wake naona ndiyo walimlewesha !!
 
Mtu aliyepigwa na majambazi au system hawezi kuwa na jeraha sehemu moja.Je Mbowe ana jeraha sehemu nyingine zaidi ya mguu?
 
IMG-20200609-WA0004.jpg
 
Mtu aliyepigwa na majambazi au system hawezi kuwa na jeraha sehemu moja.Je Mbowe ana jeraha sehemu nyingine zaidi ya mguu?
Hajapigwa aliteguka mguu wa kulia na akaumia kidogo nyuma kiganja Cha mkono wa kushoto. Angalia picha akiwa kituo Cha afya Cha binafsi badala ya hospitali ya serikali. Huyu na Msigwa (Mchungaji), na Lema walilewa usiku na Mbowe aliporomoka kwenye ngazi za kuingilia kwake. Joyce Mukya shahidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuni huu wa CCM lazima ukome mara moja..!!
Fuso hebu tutoe Shaka.Inawezakana vipi wanaokupiga,wakuumize sehemu moja tu,halafu wakuache bila hata michubuko sehemu zingine?
 
Mtu aliyepigwa na majambazi au system hawezi kuwa na jeraha sehemu moja.Je Mbowe ana jeraha sehemu nyingine zaidi ya mguu?
nani kasema majambazi, this is a coordinated assault with a target and intent
 
Back
Top Bottom