pamoja Santa
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 743
- 1,148
Ifike hatua tuache kutafuta mchawi nani, Mbowe aache pombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ni kuingilia maisha binafsi ya mtu mkuu.Ifike hatua tuache kutafuta mchawi nani, Mbowe aache pombe
Ifike hatua tuache kutafuta mchawi nani, Mbowe aache pombe
Bahati yake mfipa Mimi namuamini Mungu, ningempiga kichomi atembee kama sabaHuyu hawajui wafipa, atatembelea kichwa sasa hivi
Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
Taifa linamomonyoka!Viongozi wetu ww dini na wazee wa taifa hili wapo kimya, huu ujinga unaharibu sana umoja na ustawi wa taifa. Mbunge ninatumika pia kufanya mzaha na ujuha kauli za ajabu!? Hii mbegu ya chuki awamu hii inashamiri kwa kasi tuchukue hatua kila mmoja kwa nafasi yake kusema enough !
Lissu,mawazo,mwangosi walikuwa wamelewa?
Hajapigwa aliteguka mguu wa kulia na akaumia kidogo nyuma kiganja Cha mkono wa kushoto. Angalia picha akiwa kituo Cha afya Cha binafsi badala ya hospitali ya serikali. Huyu na Msigwa (Mchungaji), na Lema walilewa usiku na Mbowe aliporomoka kwenye ngazi za kuingilia kwake. Joyce Mukya shahidi.Mtu aliyepigwa na majambazi au system hawezi kuwa na jeraha sehemu moja.Je Mbowe ana jeraha sehemu nyingine zaidi ya mguu?
Fuso hebu tutoe Shaka.Inawezakana vipi wanaokupiga,wakuumize sehemu moja tu,halafu wakuache bila hata michubuko sehemu zingine?Uhuni huu wa CCM lazima ukome mara moja..!!
nani kasema majambazi, this is a coordinated assault with a target and intentMtu aliyepigwa na majambazi au system hawezi kuwa na jeraha sehemu moja.Je Mbowe ana jeraha sehemu nyingine zaidi ya mguu?