Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Doh π sasa baharini mkuu ufanyeje?Sasa Wazazi hawana uwezo wa kukulipia ada ya Chuo Kikuu, fortunately Serikali inakupa Mkopo wa asilimia 100 bado unakataa Kwa kigezo cha riba.
Uzuri zaidi Rais aliyetoa Mkopo huo ni Ustaadhi JK, Rais wa awamu ya 4
Wanasema ukifa na Kiu baharini itakuwa uzembe.
Kalaga baho π
kwa hiyo wewe huitaki mbingu? maisha ya duniani ni mafupi sana mkuu, kulinganisha na yale ya milele pamoja na Bwana.Duniani kote wanafikiria namna ya kuzipata rasilimal za africa, lakini waafrika wanawaza namna ya kwenda mbinguni, hapo hapo nikaachana na usabato rasmi [emoji23]
Ndiyo unywe Maji ya bahari kukata KiuDoh π sasa baharini mkuu ufanyeje?
Nani alimuuliza ?Sawaa, wanakazaniwa kusoma Madrasa na hapo hapo wanasoma secular, kwani kuna shida!
Mfungo wa Ramadhan ukikaribia au kuanza ndio mada za kukashifu Uislamu zinaanza
Ψ¨ΩΨ³ΩΩ Ω Ψ§ΩΩΩΩΩΩ Ψ§ΩΨ±ΩΩΨΩΩ ΩΩ°ΩΩ Ψ§ΩΨ±ΩΩΨΩΩΩ Ω ΩΩΩΩ ΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΩΩΩΨ§ Ψ§ΩΩΩΩΨ§ΩΩΨ±ΩΩΩΩ
109:1 Al-Kafirun (The Disbelievers)
Sema: Enyi makafiri!
ΩΩΨ§ Ψ£ΩΨΉΩΨ¨ΩΨ―Ω Ω ΩΨ§ ΨͺΩΨΉΩΨ¨ΩΨ―ΩΩΩΩ
Siabudu mnacho kiabudu;
109:2 Al-Kafirun (The Disbelievers
ΩΩΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΨͺΩΩ Ω ΨΉΩΨ§Ψ¨ΩΨ―ΩΩΩΩ Ω ΩΨ§ Ψ£ΩΨΉΩΨ¨ΩΨ―Ω
109:3 Al-Kafirun (The Disbelievers
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
ΩΩΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΨ§ ΨΉΩΨ§Ψ¨ΩΨ―Ω Ω ΩΨ§ ΨΉΩΨ¨ΩΨ―ΩΨͺΩΩ Ω
109:4 Al-Kafirun (The Disbelievers
Wala sitaabudu mnacho abudu.
ΩΩΩΩΨ§ Ψ£ΩΩΩΨͺΩΩ Ω ΨΉΩΨ§Ψ¨ΩΨ―ΩΩΩΩ Ω ΩΨ§ Ψ£ΩΨΉΩΨ¨ΩΨ―Ω
109:5 Al-Kafirun (The Disbelievers
Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
ΩΩΩΩΩ Ω Ψ―ΩΩΩΩΩΩΩ Ω ΩΩΩΩΩΩ Ψ―ΩΩΩΩ
109:6 Al-Kafirun (The Disbelievers
Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Huijui Sunnah kijana.Kwa hiyo mtume aliamrishwa kufuga ndevu kweny Qur an ?Ebu soma uelewe.
Yapo mafunzo ya kisunnah juu ya umuhimu wa ndevu ila sio lazima
Hammaz unamjua Shaykh Muhammad Raslaan (Allah Amhifadhi) wa Misri? Salafiyya hawana shida. Wanawarudisha Waislam katika Dini yao na kulingania Uislam sahihi. Wanawatakia kheri mno ndugu zao. Si watu wa vurugu kama unavyodai. Huko Misri ulikopataja waleta fujo ni "Ikhwanul Muslimeen" ambao hasa ni Masufi. Masalafi katika Da'awah yao sio watu wa kuminyana na watawala, ni watiifu katika yasiyo haramu na hawatoki nje ya twaa ya mtawala na wana subra katika dhulma ya mtawala. Hukuti wakihangaika na siasa.Laiti kama mimi ningelikuwa na mamlaka ningelipiga pini kundi la Salafi kama walivyofanya Misri. Misri ukiwa na usalafi kama wa Qassim Mafuta wanakukamata ndani.
Hii story ni ya kweli au ni man made Story??. Kama ni ya Kweli tunaomba Jina la Huyo Mwalimu na Namba yake ya Simu ili apatiwe Ajira Mpya sasaivi popote nchini.Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.
Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.
Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.
Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Kuna jamaa aliacha Chuo tukiwa first year baada ya kusema eti Mkopo wa Bodi ya Elimu ya Juu una riba, na Dini yao pia hairuhusu Riba.
Wakati huo Wanafunzi wa Engineering wanapewa Mkopo asilimia 100
Hizi dini ni utumwa toshaKuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,
They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
Kati ya laki 7 plus bima,plus dhamana ya mkopo na jobless which is better?Alikuwa kachoka laki 7, hata mimi ningesepa japo kuwa na ndevu si lazima kwenye dini.
Wajinga dini za kuletewa haziwezi kunitoa kwenye reliKuna dr nae wa Serikali aliacha kazi kisa anasema hawezi kuwa anaona mbususu za wanawake kila siku wakati wakijifungua ni haram kwake, akaandika barua siku hizi kawa mkulima mzuri tu.
Maadili ya Mwalimu ndevu haziruhusiwiWalimuonea Hakuna sheria inayozuia kufuga Ndevu
Maadili ya Utumishi wa Umma Yote yako sawa Dressing code zote ziko sawa..Maadili ya Mwalimu ndevu haziruhusiwi
Kabisa Mkuu πHizi dini ni utumwa tosha
Njoo pm nikupe namba yakeHii story ni ya kweli au ni man made Story??. Kama ni ya Kweli tunaomba Jina la Huyo Mwalimu na Namba yake ya Simu ili apatiwe Ajira Mpya sasaivi popote nchini.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Laki uende wapi ? Hiyo laki saba ndio inakatwa pesa ya bima ,bado makato kibao.Kati ya laki 7 plus bima,plus dhamana ya mkopo na jobless which is better?
Amiin. Sote.Nasikitika sana. Allah atengeneze hali ya Ummah wa Kiislam na auunganishe katika Tawhid na Sunnah. Ameen.
Allah akulipe kheri na akufishe katika Tawhid na Sunnah.