How about 666 is USD and USA$.....is forcing all to go and acept Sodoma and Gomorra??Wasabato nakumbuka nilikuwa mwaka 2012 wakasema miaka kumi ijayo sitanunua kitu bila chapa 666 nashangaa saiv nipo 2024 sijui hao jamaa wanatuonaje
YaaniDini ni moja ya majanga tuliyoachiwa Waafrika. Mitaani usiku mnene watu wanahubiri na vipaza sauti unajiuliza watu wanapumzika saa ngapi? Misikiti inatumia vipaza sauti usiku mnene. Washauri wawe wastaarabu utakachoambulia pengine wanaweza kukukata shingo kabisa
KumbeeeeNi lazima kwa baadhi ya Madhebu ya kiislamu Kama ibadhi, Answar, salafiya, malikiya na wengine
Mkataba wake wakazi unakataza ndevu?Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.
Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.
Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.
Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Kila mtu na maisha yake wengi wamesoma lakini bado mafura wengi hawakusoma lakini wamewaajili walio somaKuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,
They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
Ndevu sio lazima kwa mwanaume ambae hana imani kwa mwenye imani ni lazimaAlikuwa kachoka laki 7, hata mimi ningesepa japo kuwa na ndevu si lazima kwenye dini.
Kila mtu na maisha yake wewe wakwako wasomeshe hao wanaosoma madarisha wakija kukuomba robo ya sembe usiwapeNenda Znz huko watoto wanakazaniwa Madrasa kuliko shule.
Ndevu ni lazima kwa kila mwanaume muisilamu mwenye imani na mtumeweNi lazima kwa baadhi ya Madhebu ya kiislamu Kama ibadhi, Answar, salafiya, malikiya na wengine
NdioKwa hiyo kufuga ndevu ni Sunnah ya kazima?
Ni mjinga huyo tena mpumbavu kabisa.Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.
Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.
Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.
Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Kwahiyo wale wasio na ndevu kiasili hawa wao ni motoni?🤣🤣 dini hasa uislamu ni ujinga na upumbafu uliotukuka.Sema hivi " kuwa na ndevu si lazima kwenye dini yangu".
Yule mwamba anakupa mpaka Aya kuwa bila ndevu huonji pepo.
Kama ilivyo kufirana ni sunna ya mitume wote.Inaongelea dini gani ?
Kwenye Uislamu kama ndevu unazo ni lazima kuzifuga kama huna kabisa, hii Sheria haikuhusu.
Kufuga ndevu ni Sunnah za mitume wote.
Usilamu umejaa soga na ngano za watoto mwenye akili timamu hawezi kuwa muslamu,lazima ujitoe akili kuamini huo upuuziSamahani, kuna mtu aliniambia ndevu kw waislamu ni Sunnah, nikamuuliza kivipi? Akasema eti malaika hua wanaishi kwenye zile ndevu, hivyo ukinyoa unawafukuza...
Hii ni kweli?
Kumbe mnajuana ninnyi ni magaidi in making, muda wowote mtachinjana kama kuku,hii dini ya shetani ni laana katika ulimwengu.Ni kweli kabisa mimi Ninawajua Vizuri sana..
Ninajua Aqida zao Nimewahi kuwa Salafi, nimewahi kuwa Answar..
Hata sheikh mafuta vitabu vyake ninavyo..
Kuan hiki kimoja anaelezea kuhusu Aqida za Kisalafiya na kuwabeza wengine wasiofata Aquda yake..
Hata ukimkamata Mafufa haisaidii kitu kaacha Athari kubwa sana kwenye Jamij Kiusuly na kiitqadi sana sana utazalisha Ugaidi wa kuuana sisi kwa sisi..
View attachment 2933209
View attachment 2933210