Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

Kushika sana dini kunaweza kukupeleka kubaya. Rafiki yangu aliacha kazi ya Ualimu baada ya Mkuu wa Shule kumtaka anyoe ndevu

Wasabato nakumbuka nilikuwa mwaka 2012 wakasema miaka kumi ijayo sitanunua kitu bila chapa 666 nashangaa saiv nipo 2024 sijui hao jamaa wanatuonaje
How about 666 is USD and USA$.....is forcing all to go and acept Sodoma and Gomorra??
 
Dini ni moja ya majanga tuliyoachiwa Waafrika. Mitaani usiku mnene watu wanahubiri na vipaza sauti unajiuliza watu wanapumzika saa ngapi? Misikiti inatumia vipaza sauti usiku mnene. Washauri wawe wastaarabu utakachoambulia pengine wanaweza kukukata shingo kabisa
Yaani
 
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.

Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.

Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.

Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.

Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Mkataba wake wakazi unakataza ndevu?
 
Kuna vijana wawili waliacha kibaha boys PCB, wakisema hii elimu inaukafiri,

They were more than smart guys, nataman nijue sasa wako wapi
Kila mtu na maisha yake wengi wamesoma lakini bado mafura wengi hawakusoma lakini wamewaajili walio soma
 
Sasa mwanaume kama hauna ndevu unatofauti gani na mwanamke ..binafsi katika maisha yangu niliwahi kutoa ndevu zote mara moja tu ...nlijuta sana kidevu kilikuwa na goti la mtoto .. na mustache hakuna nikawa kama mdomo wa kuku
 
Ni lazima kwa baadhi ya Madhebu ya kiislamu Kama ibadhi, Answar, salafiya, malikiya na wengine
Ndevu ni lazima kwa kila mwanaume muisilamu mwenye imani na mtumewe

Aswar salafiya haya ni madhehebu?
 
Sema mkuu wa shule alikuwa mnoko tu....kwani ndevu ndo zinazofundisha jaman
 
Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.

Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.

Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.

Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.

Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
Ni mjinga huyo tena mpumbavu kabisa.
Hiyo dini yenyewe haimuamrishi na haimlazimishi afuge ndevu.
 
Inaongelea dini gani ?

Kwenye Uislamu kama ndevu unazo ni lazima kuzifuga kama huna kabisa, hii Sheria haikuhusu.

Kufuga ndevu ni Sunnah za mitume wote.
Kama ilivyo kufirana ni sunna ya mitume wote.
 
Dini sio ndevu
Pia kumzuia MTU kufundisha kisa ana ndevu is all about ***
 
Hua nashangaa sana ndevu inamzuia mwalimu kushika chaki? Mbona kuna watu humo maofisini wanavaa uchi kabisaaa na wanamalizana humo humo maofisini mbona hawa hawakatazwi
 
Samahani, kuna mtu aliniambia ndevu kw waislamu ni Sunnah, nikamuuliza kivipi? Akasema eti malaika hua wanaishi kwenye zile ndevu, hivyo ukinyoa unawafukuza...
Hii ni kweli?
Usilamu umejaa soga na ngano za watoto mwenye akili timamu hawezi kuwa muslamu,lazima ujitoe akili kuamini huo upuuzi
 
Ni kweli kabisa mimi Ninawajua Vizuri sana..
Ninajua Aqida zao Nimewahi kuwa Salafi, nimewahi kuwa Answar..

Hata sheikh mafuta vitabu vyake ninavyo..
Kuan hiki kimoja anaelezea kuhusu Aqida za Kisalafiya na kuwabeza wengine wasiofata Aquda yake..

Hata ukimkamata Mafufa haisaidii kitu kaacha Athari kubwa sana kwenye Jamij Kiusuly na kiitqadi sana sana utazalisha Ugaidi wa kuuana sisi kwa sisi..
View attachment 2933209
View attachment 2933210
Kumbe mnajuana ninnyi ni magaidi in making, muda wowote mtachinjana kama kuku,hii dini ya shetani ni laana katika ulimwengu.
 
Back
Top Bottom