Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Dini ya kweli ni ipi na dini ya uongo ni ipi?sahihi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dini ya kweli ni ipi na dini ya uongo ni ipi?sahihi
Dini haina shida ni upokeajiAliyeunda dini alikuwa ana mpango mzuri, aliyefanya ziwe nyingi ndio alikua na mpango mbaya
Mtazamo wakoHakuna mpango mzuri kwenye dini yoyote
sifa za dini ya kweli;Dini ya kweli ni ipi na dini ya uongo ni ipi?
Daaaaah hizi shuhuda ni za kweli ama mmeanza kutupiga kamba?![emoji28][emoji28][emoji28]Kuna dr nae wa Serikali aliacha kazi kisa anasema hawezi kuwa anaona mbususu za wanawake kila siku wakati wakijifungua ni haram kwake, akaandika barua siku hizi kawa mkulima mzuri tu.
Nahisi jamaa alikua tu ameichoka hiyo kazi akapata kisingizio [emoji28][emoji28]Ni jirani yetu huko nyumbani kwetu, pia kuna kaurafiki kwa mbali baina yetu. Likizo sometimes tulikuwa tunajisomea pamoja kwakuwa tulikuwa darasa moja.
Jamaa akawa teacher wa Serikali baadaye. Sasa nasikia walimu wana miiko mingi kutokana na mazingira yao ya kazi, sometimes wanakuwa walezi.
Sasa jamaa hakuacha sunnah ya Mtume akafuga ndevu vizuri. Mkuu wa shule akamwambia Mr nyoa hizo ndevu hii shule ni secular, jamaa akakataa.
Alipoona anazidi kuhimizwa kunyoa uchebe na sometimes kutishiwa kufutwa ajira akamwahi boss wake akaandika 24 hrs resignation letter, mkuu wa shule akaipitisha, na Mkurugenzi akamaliza kazi.
Jamaa sasa kwa moyo mweupe analima kijijini. Kaka yake aliyemsomesha wamegombana baada ya jamaa kupiga kalamu chini lakini anasema hawezi kurudi.
1. Ukweli wa maumbile! how?sifa za dini ya kweli;
1.Ni lazima ieleze ukweli juu ya maumbile
2,Ni lazima iwe na kanuni na Sheria zinazoendana na maumbile yote
3,Ni lazima itosheleze mahitajio ya mwanadamu ya kimwili na kiroho
4,Ni lazima iwe na mfumo wa maisha uliokamilika
5,iwe ya walimwengu wote na nyakati zote
6,Ni lazima ianishe na kusimamia haki zote za mwanadamu
kinyume chake dini isiyo na sifa hizo maanayake haijitoshelezi na ya uongo
Kweli kabisa mkuu maana nina mfano unaoishi hadi leo, kuna jamaa yetu alikuwa kashika dini haswa, yaani umwambii kitu, leo kila mtu akimuona anamuhurumia.So sad. Watu wa hivo huwa hawadum katika dini baadae wanakuwa wapagani paga paga.
Acha bana.. dini ya ukweli, dini ya uongo... Uthibitisho "Trust me bro"Sio kweli kuwa kushika Sana dini kunaweza kukupeleka kubaya ila kwa dini zile za uongo(ambapo mafikio yake ni jahanam,huko ndiko kubaya kuliko kote)!
kinyume cha kushika Sana dini ya kweli (uislam) ndiko kunakupeleka kuzuri(Jannah)ambapo ndipo mafikio mazuri kabisa ya mwanadamu.
Allah atuongoze katika njia sahihi na tusife ila tumekuwa waislam kamili!
Bora alipata msaada wakurudi chuo wengine wamepotea kwakweli Mungu atusaidieWengi wa namna hii huishia kwenye makundi ya ugaidi ama maisha yakiwachapa huishia kujuta na kuachana na dini.
Mimi kuna jamaa tulisoma nae chuo Mwaka wa pili akaacha kwa sababu kama hizohizo, aliporudi kitaa kakaa kama miaka miwili ngoma ikawa tight akili zikamrudi akaanza kutafuta opportunity ya kurudi chuo Ardhi
Ukweli kuhusu maumbile,nn lengo la mwanadamu kuwepo Duniani,lengo,dhima1. Ukweli wa maumbile! how?
Ni maumbile yote kwa ujumla kuanzia ulimwengu ulivyo na viumbe or..
Unaweza ukailezea mbingu ni nini na inapatikana wapi?Ukweli kuhusu maumbile,nn lengo la mwanadamu kuwepo Duniani,lengo,dhima
na maumbile ya vyote vilivyomo mfano mbingu,ardhi,nyota,wanyama,mimea n.k
Kumbe hata maana ya Sunnah huijui. Kwanini hamsomi vijana ?Ndio nakumbia ni sunnah sio lazima
Mimi ndo wange niponda mawe😃😆Mkuu inategema na Madhahab Gani?
Niliwahi kuwa Salafiya.na Answar pia..
Usipofuga Ndevu hata swafu ya Mbele ya Swala utaisikia tu utapelekwa safu ya Nyuma..
Na utapigwa Vijembe na kuitwa mwanamke..
Kuna hadithi Nyingi wanazo za kuhalalisha wasemacho kuwa Ni sunna Zenye Faradhi ndani..
Kama hujawahi kuwa hilo dhehabu huwezi kunielewa