Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
Kuna hii ya siku hizi ya kitu kinaitwa sijui hakika. Wanasomewa watoto na unachinja mbuzi na mifupa inakusanywa na kuzikwa. Huu ni utamaduni wa waarabu lakini watu wameiga. Kuna dada yangu alichinja mbuzi 9 kwa ajili ya watoto wake , akijua eti watakuwa na maadili, loh wote wamekuwa ovyo kabisa .Tatizo watu wanachukuwa utamaduni na kufanya ni dini. Vilemba na ndevu ni utamaduni sio dini. Ni kwamba wenye utamaduni fulani ni wa dini fulani hii inachanganya wanaopenda kuiga