Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

Unamuongelea yule Mtikila aliyekuwa anawachukia Watutsi na Wahindi?

Yule ambaye aliishinda serikali mahakamani kuhusu mgombea huru, hakupata kupoa hadi bia moja matata sana kupewa utambulisho wake.
 
It's now or never,

Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hautafanyika uchaguzi wowote wa HAKI,

Lissu, Mnyika na CDM waungwe mkono.
 
makuwadi na guruwe wa warabu nenden dubai mabwege na mabwabwa yasiyoweza kushinndana kwa haki yakitegemea mbwa waliojivika mavaz ya kulinda raia na mali zao ifikapo 2025 mamayenu atakimbilia Dubai huku makuwadi ya dpworld mkichagua either kubaki mkione cha mtemakuni au mkimbilie Burundi.
 
Chama Cha siasa kikiondoka kwenye kutegemea sanduku la kura kikaanza kzegemea Jeshi la Polisi na Usalama wa Taifa, hicho Tena siyo Chama Cha siasa. CCMkwa Sasa hawategemei sanduku la kura, siku wakirudi kutegemea sanduku la kura, ni mapema tu asubuhi hawapo.
 
Unafahamu matokeo ya
Unafahamu Rais iliyechaguliwa kwa wizi wa kura Tanzania matokeo yake hayapingwi mahakanani ?
 
It's now or never,

Bila tume HURU ya UCHAGUZI na KATIBA mpya hautafanyika uchaguzi wowote wa HAKI,

Lissu, Mnyika na CDM waungwe mkono.

Kama haufanyiki uchaguzi wa haki options gani ziko mezani ambazo ni lazima kuzingatiwa? Options zipo lukuki:

1. Wizi hauna hati miliki ya mtu
2. Uchaguzi usiokuwa wa haki wa nini? Bila kusahau hamna kususa!
3. Kulikoni kuto ya infiltrate majizi haya?
4. Nk, nk.
 
Wewe unafanya Nini kuzuia wizi wa kura? Wewe mwenyewe umekaakaa alafu hujitambui Unataka ufanyiwe wewe ukae tuu???

Ni wazi kuwa usiowadhania yaweza kuwa wanafanya mengi na ya maana mno kuliko wewe ndugu.
 
Unafahamu matokeo ya

Unafahamu Rais iliyechaguliwa kwa wizi wa kura Tanzania matokeo yake hayapingwi mahakanani ?

Kwa hiyo unaona tuendelee kukubaliana na hilo kama amri ya Mungu, siyo?
 
Mbona hata pesa wanaiba, wizi ni jadi ya CCM
 
Walisema penye nia pana njia. Tunashindwa vipi kuweka mikakati ya ushindi tukashinda? Kwa hakika si Kwa kulia lia. Tufike mahali tukubaliane kuibiwa na kukwiba ni sehemu ya mchezo. Kulia lia iwe marufuku!
Wewe usichukulie mambo simple kihivyo. Wizara ya TAMISEMI ipo chini ya Rais ambaye ni mwenyekiti wa CCM. TAMISEMI ndio inasimamia uchaguzi unategemea Nini?. Waziri mwenyewe ni mkwe wa Rais. Sasa upinzani watawezaje kuzuia wizi na udanganyifu.
 
Hao Wana means, na Wana Dola. Usiwakinganishe na upinzani. Upinzani wanajitahidi Sana hapo Dola inakilinda chama Cha mapinduzi.
 
Endeleeni kuiba kisa wananchi wapo kimya.

Kwa ukimya huu nini wezi kiwasimamishe kama kila wanachotaka kinakuwa?

Waungwana wakiita dua la kuku halimpati mwewe.
 
Hawako serious.
Sasa hv washasombwa na upepo wa bandari.
Wanahangaika na waraka huko vigangoni
 
Tatizo lako hutaki kukubali kwamba uchaguzi unasimamiwa na serikali ya CCM na ndio inafadhili huo uchaguzi, hivyo wao wapo kwenye upper hand ya kuiba kuliko upinzani ambao ni outsiders. Unakumbuka kilicho tokea Zanzibar 2015?. Jeshi la JWTZ liliingilia kati ikabidi uchaguzi ufutwe. Sasa kwa mazingira hayo amabapo jeshi linaingia kulinda CCM unategemea upinzani wafanye Nini.
 
Hao Wana means, na Wana Dola. Usiwakinganishe na upinzani. Upinzani wanajitahidi Sana hapo Dola inakilinda chama Cha mapinduzi.

Upinzani hata websites zao hazina updates, online TV zao mfu, accounts zao social media bora zako au zangu, uchaguzi bila Katiba mpya ndiyo hao wako kwenye maandalizi kama Bulaya tu, nk nk.

Dola kitu Gani kama kuna wanachama 8m+?
 
Kwa ukimya huu nini wezi kiwasimamishe kama kila wanachotaka kinakuwa?

Waungwana wakiita dua la kuku halimpati mwewe.
Mtu anaiba pesa za umma kila mwaka ataona aibu gani kuiba kura za wananchi ili aendelee kuwaibia.
 

Hatuwezi kuzuia chaguzi kufanyika bila kujiridhisha mazingira? Hata hatuwezi kuwa infiltrate mbona Odinga aliwahi jiunga KANU?

Si ni wa kusikiliza tu, hewala bwana?
 
Upinzani hata websites zao hazina updates, online TV zao mfu, accounts zao social media bora zako au zangu, uchaguzi bila Katiba mpya ndiyo hao wako kwenye maandalizi kama Bulaya tu, nk nk.

Dola kitu Gani kama kuna wanachama 8m+?
Katika mambo yatakayo nifanya niwadharau CHADEMA ni kama watashiriki uchaguzi wa 2024/2025 bila tume huru. Yani CCM wakiiba itakuwa haki yao. Yani ifanyiwe ubaya 2020 halafu utegemee huruma 2024.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…