Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

Hatuwezi kuzuia chaguzi kufanyika bila kujiridhisha mazingira? Hata hatuwezi kuwa infiltrate mbona Odinga aliwahi jiunga KANU?

Si ni wa kusikiliza tu, hewala bwana?
Ndio tujaribu kipindi hiki. Shida upinzani hawana umoja wengine watashiriki.
 
Haya ndo mambo ya kujadili na kuweka mkakati.
Hii kulialia kila uchao eti oooh CCM wezi, sijui wameuza bandari, wameuza nchi, mara wanaiba uchaguzi, kama hatuna mkakati wa kuifanya CCM ifike mwisho wa dhuluma hz ni bora kuungana nao tu nasi tufaidi mema yao japo ya haramu
 
Tufike mahali tuelezane ukweli. Chama hata tovuti zake hakuna updates, hata vi online TV bora vya kina AYO. Macho sasa yapo kwenye ubunge 2024/25 kwa Katiba hii hii. Nini tofauti na kina Bulaya?
Dah we jamaa leo vp!
Mbona unawachana sana watu...
 
Walisema penye nia pana njia. Tunashindwa vipi kuweka mikakati ya ushindi tukashinda? Kwa hakika si Kwa kulia lia. Tufike mahali tukubaliane kuibiwa na kukwiba ni sehemu ya mchezo. Kulia lia iwe marufuku!
Hata kwenye football kucheza rafu ni mbinu ya ushindi pia.
Kweli nimekuelewa mno...
 
Binafsi msimamo wangu ni kuachana na lolote liwalo. Tukomae na katiba tu. Tususie chaguzi zoooote mpk dunia itusikie.
Mi nna uhakika huyu mama hatokuwa na kifua cha kuvumilia hiyo hali kwa sababu anapenda sana kuonekana yeye ni Mwanademokrasia mbele ya wazungu
 
Kwa aina hii ya kwako, tusahau kuitoa CCM
 
Ndio tujaribu kipindi hiki. Shida upinzani hawana umoja wengine watashiriki.

Mambo hufanikiwa Kwa mikakati. Mikakati yote overt na covert kwenye medani ya vita ni muhimu.

Hata bila kuungana kama dhamira ilikuwapo chama chochote kiliweza kuleta mabadiliko:

 
Dah we jamaa leo vp!
Mbona unawachana sana watu...

Kuna mambo yanatia kinyaa. Tunataka CCM watoke lakini tunapwaya kimikakati. Haisaidii kitkoulitambua hilo.
 

Hata wafanya biashara wa Kariakoo wakilianzisha mbona mambo yao hunyooka?

Hata kama uchaguzi haususwi tunaweza jipanga kuwashinda hawa ndugu. Mbona Seif aliweza kuja na kura za maruhani?

Tunaweza wa infiltrate tukagombea hata kama wanachama wao. Shida iko wapi?
 
Hatuaminiani. Kila mmoja anajiona yeye ndo mpinzani na wenzake ni mamluki.
 
Kumbe kuna wakati bwana mdogo zinachaji vizuri tu!

Kwa hiyo bandari milele kwa mwarabu pale ndio umejitoa akili makusudi?!
 
Hatuaminiani. Kila mmoja anajiona yeye ndo mpinzani na wenzake ni mamluki.

Kushindwa kujua Kwenye siasa hawapo adui wala marafiki wa kudumu bali agenda ni kitambulisho halisi cha mapoyoyo yatakavyo endelea kuwa masingiziaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…