Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?
Sababu nyingine.
Taratibu unaanza kurudi kwenye sense zako.
LD am counting.............!
AHAHAHAHAHAHAH!Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?
Sababu nyingine.
Sasa we unajua sijatia msosi na Matesha yapata siku tano.
Ikifika saa moja unanipigia unanambia 'njoo hapa King Star bana'
Kesho ananipigia mutu ya Kongo papaa Kasibeti,
Kesho kutwa napewa salamu za Emmy na B_E, na kama unavyojua Emmy hana simu...
Siku inayofuata DEUSI ananiambia kuna bia mbili zinanisubiri
Siku nyingine sababu ya wapwa kumsalimia Eliza pale JJ
Then kuna kamati ndogo inahitaji ulezi wangu
Siku nyingine Kiu inanishinda
Zimebaki siku ngapi hapo kwa wiki?
achana na pombe hamia kwenye chai! Wote hao watakuja wenyewe home wakikukosa kijiweni! Hivyo muda utapatikana wa lunch na dinner home..
Hivi chai unaweza kuiweka kwenye fridge ipate bardii??achana na pombe hamia kwenye chai! Wote hao watakuja wenyewe home wakikukosa kijiweni! Hivyo muda utapatikana wa lunch na dinner home..
Dah kumbe wenyewe tunawasukumia huko?Next time piga supu huko ukifika home na wewe unakaa mezani..unapiga vijiko viwili umeshiba!Mama anafurahi..wewe unafurahi..case closed!Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?
Sababu nyingine.
NIMEIPENDA SANA HIYO....!hahahahahahahahaDah kumbe wenyewe tunawasukumia huko?Next time piga supu huko ukifika home na wewe unakaa mezani..unapiga vijiko viwili umeshiba!Mama anafurahi..wewe unafurahi..case closed!
hommie hizi post zako za leo ni sababu nyingine ya kuhudhuria counter ya juu!!!Mi kuna siku nikawa naangalia BBC na kopo langu la castle mkononi....nikasikia Matesha akimwambia mama ake...hivi mbona leo baba hatoki, nataka niangalie katuni.......Sababu nyingine....
Hivi chai unaweza kuiweka kwenye fridge ipate bardii??
mi vinywaji vya moto vinaniunguza mdomo........
hommie hizi post zako za leo ni sababu nyingine ya kuhudhuria counter ya juu!!!
hahahaha
hahaha wewe nakumbuka nilishawai kurudi na home boy wangu, wife wake akatufungulia...dah chakula mezani yaani hakuna cha vijiko viwili alitusimamia mpaka tukamaliza achana na vijiko vilwili bana..lolDah kumbe wenyewe tunawasukumia huko?Next time piga supu huko ukifika home na wewe unakaa mezani..unapiga vijiko viwili umeshiba!Mama anafurahi..wewe unafurahi..case closed!
NIMEIPENDA SANA HIYO....!hahahahahahahaha
mapenzi ni maridhiano
Orait..........naona wewe ni genius........unarudi home ukiwa na bia kichwani na kongoro tumboni.Dah kumbe wenyewe tunawasukumia huko?Next time piga supu huko ukifika home na wewe unakaa mezani..unapiga vijiko viwili umeshiba!Mama anafurahi..wewe unafurahi..case closed!
Orait..........naona wewe ni genius........unarudi home ukiwa na bia kichwani na kongoro tumboni.
Ukiingia tu, unawahi castle ya kopo kwa fridge....then unakaa mezani, unapiga story tu, huli wala nn.
Castle na kibua wapi na wapi?
MKUKUTAUnajua hata kusali tunaweza kusalia nyumbani, ila msikitini na kanisani kuna raha yake
Tukienda ZERO pub tunahudumiwa na Eliza, kwanza bia inakuwa tamu zaidi, halafu tunakuwa tumetoa ajira kwa Eliza na mangi wa jikoni
hii ni kisera zaidi