Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mkubwa umenikumbusha.........kuna siku nilirudi home na kitu cha miguu ya mbuzi na kichwa kizima....nikasema dinner langu liwe supu ya hii makitu! nikaambiwa si ukanywe huko bar?
Sababu nyingine.
Mi kuna siku nikawa naangalia BBC na kopo langu la castle mkononi....nikasikia Matesha akimwambia mama ake...hivi mbona leo baba hatoki, nataka niangalie katuni.......Sababu nyingine....