Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

Kwanza mkuu Oppo ni waanzilishi wa kuweka ram kubwa na storage Kubwa pamoja na viprocessor vidogo.

Mfano wa simu hizo za Bei rahisi ni kama Oppo A83 unakuta storage 128GB lakini processor ni Helio P23 ambayo ni kimeo. Kama wewe ni wale ambao kigezo cha ubora wa simu ni ukubwa wa storage umeenda na maji.

Pili storage zinakuwa sio za kisasa, ukiangalia hio hio Oppo A83 inatumia Emmc storage.

Tatu specs nyengine za kawaida vitu kama Display unakuta ni 720p tu.

Hivyo toka mwanzo hio simu ni lowend iliwekwa tu memory kubwa kudaka watu wasioelewa simu, sasa hivi imekua used ndio maana imeshuka sana thamani.
 
Mkuu umepiga mule mule[emoji109]
 
Oppo simu zake ana storage na ram kubwa ,ila anabana baadhi ya maeneo, mfano mimi nimetumia oppoA52 ni nzuri sana ilanamebana kwenye camera
 
Mkuu ukipewa tecno pop2 f na oppo a57(2016) utakwenda na ipi hapo
 
Hizo simu ni za muda sana similar to iphone 6,zimeshaanza kukataa kufanya kazi na baadhi ya apps kama X,facebook,insta nk.na zinazokubari zinacrush kila saa,betry hakuna ikikaa sana ni masaa 4.
Ni sawa na uende kkoo leo unakwenda kununua iphone 7 kwa laki 3.wakati kw wakati tuliopo haistahili kuuzwa zaidi ya laki na nusu.hiyo ndio bei yake.

Huko wanakozitoa nadhani wanazoa kwa mafungu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] uko sahihi mkuu
 

Na redmi je zenye storage kubwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…