Kushuka bei kwa simu za oppo kariakoo shida nini?

[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Na uzi ufungwe kwa comment hii, umemaliza Chief.
 
Kuna mahali nimeona wanauza kwa laki na 20 kwa hiyo bei si inaendana kabisa na specifications zake ausio?

Nahitaji nimchukulie wife kwa matumizi ya hapa na pale
 
Kuna mahali nimeona wanauza kwa laki na 20 kwa hiyo bei si inaendana kabisa na specifications zake ausio?

Nahitaji nimchukulie wife kwa matumizi ya hapa na pale
Kwa Sony/Sharp unaweza pata flagship ya Zamani kwa hio bei, kama hajali umbo la simu. Ila kama hana matumizi mengi hata hizo core ndogo sio mbaya kwa hio bei,
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Betri baba utakuta ni kimeo mfano ukute betri ina 3000mah au 2700mah hapo lazima iuzwe bei hiyo harafu ukute ni used ya mwaka 2016 au 2017 au haya 2018
 
Mkuu, Xiaomi ana simu nyingi tu nzuri, sio lazima ununue Ultra series. Usipopenda mwonekano wa 13 Ultra, tafuta nyingine
Kuna simu zao nyingi tu zisizo na camera bump kubwa kama Mi 13 Ultra. Mfano
*Xiaomi 13
*Xiaomi 13 Pro
*Xiaomi 12T
*Xiaomi 12T Pro
*Xiaomi 13T
*Xiaomi 13T Pro
*Xiaomi 12S
*Xiaomi 12S Pro
*Xiaomi Redmi Note 12 Turbo/Poco F5
*Xiaomi Redmi Note 13 Pro
*Xiaomi Redmi Note 13 Pro+, nk

Hapo Xiaomi 14 na Xiaomi 14 Pro zinakuwa released globally mwakani. Sidhani katika simu zote hizo za Xiaomi utakosa inayokufaa
 
Hiyo ni kweli hata mimi nimeanza kudharau Oppo kwa sasa na kuona bora hata Infinix ,maana kuna mtu nilimkuta na Oppo specifications zake za hadhi ya juu ila bei ya mboga gadi nikashangaa.
Hapo umeconsider low end tu
Ukija kwenye flagship Infinix hagusi hata nusu ya Oppo
 
Nje ya mada
Hivi mkuu huoni kama sikuhizi Samsung kwenye foldables anapitwa na Wachina. Mfano nimeona Oppo Find N3 (China) au One Plus Open (Global) zina kamera nzuri zaidi kushinda Z Fold 5, bei rahisi zaidi, design nzuri, utunzaji wa chaji mzuri kushinda Z Fold 5 na unique software ambayo imefanikiwa ku-utilize matumizi ya screen kubwa.
Hapo bado kuna Vivo X Fold 2 na Xiaomi Mix Fold 3 ambazo kwa sasa zipo China tu

Samsung ndio kaanza kutengeneza haya mambo, Wachina wameanza juzijuzi tu ila nashangaa naona kama foldable za China ni bora kuliko za Samsung, shida itakuwa nini
 
kila mtu ana materials yake
 
Release circle, flagship zinazotoka Sasa zinatoka na tech mpya, Soc mpya, display mpya, Camera mpya etc subiria Mwezi mmoja Samsung naye akitoa flagship zake mpya utafanya comparison nzuri.

Pia toka zamani Samsung sio Kampuni ambayo inakupa Kila kitu Cha Hali ya juu, Hawa jamaa ni all arounder, wanakupa vitu vingi kuliko kitu kimoja kwa Quality ya juu.
 
duh aseeeeeeeeeeeeeeeee sasa mamlaka za serikali haziliono hili tatizo au mpaka madhara yanekane
 
Vipi Redmi Note 13 Pro+ unaionaje kwa bei yake?!
Hamna kitu mkuu unless unaipata kwa bei chini ya laki 7.

Poco siku hizi zina value kuliko redmi, Poco F5 (redmi note 12 turbo), Poco X6 na X6 pro zote nzuri kwa bei zake.

Na kama budget inafika laki 7 ama kuzidi kidogo tafuta simu ya Snapdragon 7 gen 3, bonge la soc ni all arounder kuanzia perfomance, ukaaji chaji, camera etc ipo vizuri. So far kuna simu kama tatu, Vivo V30, Oneplus Nord CE4 na honor 100 ila nyengine kibao zinakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…