Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Kijichi unaishi sehem Gani? Mbona kijichi hata goba na kunduchi ni uswahilin kuliko kijichi?.Yes kaka hapa nimebaki na watoto wife kasafiri..nimezurura na watoto kutafta sehemu tule.nimechoka hoi madogo wamelala kwa njaa.hapa nipo kijichi nafakamia chips.pumbavu
Wanaoifaham kijichi, mgeninani mpaka miande hawawez ongea ujinga hapaKijichi gani..neluka ama gate away ama kwa mpoto
Ndio kote huko usengeni
Kama wa kike walete hapa kituo cha kanisaniNdio huko napoendaga.au kijichi...sasa saa nzingine inabidi nijisindilie mikate tu Mana nikiwa nimechoka siwez kwenda huko.madogo nawafungia ndani kama mazezeta
Mkuu miande Bei zikojeWanaoifaham kijichi, mgeninani mpaka miande hawawez ongea ujinga hapa
Bila shaka ww cyo mwenyeji wa jiji hilo.Sawa mm nataka viatu vifatavyo..car wash nzuri...mgahawa mzuri.. sehemu nzuri ya kucheza watoto..maduka mazuri yenye bidhaa quality na usafiri wa uhakika....
Unataka kupanga au kununua? Miande Kuna nyumba za wazito Kule. Kuna wauza madini wengi sana Kule wana mahekalu. Ridhwani naye ana mjengo wake Kule... Usichukulie poa Kona zile mkuuMkuu miande Bei zikoje
Haswaaaa ndio zaoNiliagiza ugali Dona na nyama pale Zakhem, cha ajabu nililetewa Sembe na mboga iliyopoa kabisa.
Kuuliza nikaambiwa dona limeisha. Nikauliza kuhusu mboga baridi nikajibiwa kwa ukali "kaka siyo lazima ule" nikajibu silipi basi nikaambiwa "weee utalipa"
Nataka kununua kiwanja kijichi.hasa miande ,chekechea ,au neluka kwa joketeUnataka kupanga au kununua? Miande Kuna nyumba za wazito Kule. Kuna wauza madini wengi sana Kule wana mahekalu. Ridhwani naye ana mjengo wake Kule... Usichukulie poa Kona zile mkuu
Approximately ni kama million 30. Njoo nikuoneshe eneo letu tunauza kaka. Lipo hapa kanisani huku tunataka million 45Nataka kununua kiwanja kijichi.hasa miande ,chekechea ,au neluka kwa jokete
Mzee mm nimezaliwa na kukulia temeke sokota kipindi hicho sokota Kuna mikorosho na mabonde ya mpunga.kipindi uda na mabus ya m sleeping tupo mjini.we mwenzangu mjini liniBila shaka ww cyo mwenyeji wa jiji hilo.
Inawezekana umehamia hv karibuni.
Kwa wakazi wa muda mrf hapo Dar wanaijua status ya Mbagala na watu wake
Niliagiza ugali Dona na nyama pale Zakhem, cha ajabu nililetewa Sembe na mboga iliyopoa kabisa.
Kuuliza nikaambiwa dona limeisha. Nikauliza kuhusu mboga baridi nikajibiwa kwa ukali "kaka siyo lazima ule" nikajibu silipi basi nikaambiwa "weee utalipa"
Bolt na uber mwisho mbagala, Vikindu ni Pwani na huduma ni mbovu sana.Wasalaam wadau..nimezunguka sana kusini mwa dar hasa mbagala na vitongoji vyake, vikindu mpaka kisemvule...kwa kweli Kuna watu wengine mno na maisha yanaenda mchakamchaka Ila kwenye masuala ya huduma mbalimbali wapo very poor.kifupi hakuna jambo lolote utakalofanya lenye kuhusisha mtu mwengine likaenda smart Hawa watu sijui ni tofauti na watu wa maeneo mengine??.
Nikijikita kwenye biashara ndio usiseme wapo zero kabisa Wana mazoea sana...hawathamini Ile thamaani ya wanachokifanya..huduma za chakula ni sifuri kabisa Yani mtu ukitaka Kuna chakula Cha tofauti na nyumbani kwako lazma ushike uelekeo wa kigamboni.huwezi PATA sehemu nzuri ukala ama uka chill na familia.huduma za usafiri wapo local sana hata bolt hamna.hata huduma za kifedha ni shida..nilikuwa bank ya crd** mjini nimehudimiwa vizuri tu Ila tawi lao LA kule ni laana tupu...nini kifanyike kuwabadilisha Hawa watu namba ya kufikiri????
Nilikuwa na kiwanja huko Vikindu nikakiuza fasta baada ya kuona Hali ya uswahili na mdororo wa kimaendeleoBolt na uber mwisho mbagala, Vikindu ni Pwani na huduma ni mbovu sana.
Vikindu sehemu yao ya kujirusha ni Ikweta tu.
Kisemvuli ni bure kabisa, Mkurunga nako ni hovyo kabisa
Vikindu, Kisemvule na Mkuranga wana dunia yao.Nilikuwa na kiwanja huko Vikindu nikakiuza fasta baada ya kuona Hali ya uswahili na mdororo wa kimaendeleo
Haloo hatari.Vikindu, Kisemvule na Mkuranga wana dunia yao.
Nilikuwa na mradi kule niliteseka sana.
Nilikuwa nafanya kazi Vikindu naenda kulala Mkuranga zaidi ya 60km kila siku
Mkuu ulikuwa unatafuta kitu gani?Kuanzia mbagala mkuu kushuka mpaka maeneo hayo ni kichefchef tu
Wazee wa viwanja mmewasili😂😂😂Mkuu ulikuwa unatafuta kitu gani?
Kuhusu swala la huduma za kifedha hata ukianzia buguruni mpaka Ubungo Kuna benki moja au 2 kwa main road ya Mandela.
Kwa main road hiyo hiyo hakuna kiwanja kizuri Cha bia kwa main road. Sema upewe location maana vitu vizuri haviwi barabarani vinakuwa kwenye machimbo.
Kumalizia DSM inaishia kongowe ukikunja kwenda kigamboni.
Upande wa kushoto ni dsm upande wa kulia ni Pwani.