Kusini mwa Dar es Salaam ni uozo

Vikindu sio Dar
 
Biashara huku labda ya local staffs.tena wabaguzi kikuda.ukiwwka biashara ya kuelewwka labda mtoto umfanye zezeta
kuna jamaa alitoka chuga akaenda kufungua dula la jumla mbagala zakiem, alikaa miezi mitatau hajauza hata bidhaa za jumla ya laki tano, ilibidi afunge biashara, hakuwa na namna.
 
Maskini na umaskini ni laana mbaya sana..asa wale maskin wavaa kanzu sijui uko madrasa wanafundishwa uchafu...
Mkuu cha kukusaidia tafuta Hela Jenga sehem za watu maisha ya kati...kuish uswailini ni sawa na huko jehanamu tunapoambiwa tukifa na dhambi twapelekwa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hapo uhame fasta tu, la sivyo soon utakuwa kama wao
 
Hii sio case ya watu namna ya kufikiri, bali ni case ya serikali na utengenezaji wa miundombinu bora ya makazi na huduma nyingine.

Wananchi hawana nguvu ya kubadilisha chochote sababu wao ni waongozwaji tu. Huo ni wajibu wa serikali sababu yenyewe ndio yenye power ya kuleta mabadiliko.

The fact that unawasingizia wananchi badala ya serikali ni kuexpose uwezo wako wa akili dhidi ya hao watu.

Marekani haipo pale sababu ya wananchi million 300 bali sababu ya viongozi na serikali ambao ni less than 0.5% ya population nzima.

Alafu mkuu, jifunze kuandika.
 
Stupid
 
Maeneo niliyopo sio uswahilini mm nimejenga kamegere..kuko vizuri tu Ila Mimi nimezungumzia huduma a sio mipango miji
 
We
Ll said.mkuu suala la huduma ni msingi wa biashara na ustawi wa jamii na maeneo mengi kwa bongo hii ni hovyo..Ila huku kumezidi...
Kuna kipindi nilikuwa na mishemishe town za usiku.duuh nilipata tabu sana kwenye usafiri mpaka nikakumbuka kipindi nakaa ada estate...Yani huwezi kurequest bolt.ukirequest inaandika unknown...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…