Kusini mwa Dar es Salaam ni uozo

Najuta kununua eneo huku..my bro niliekupa hela unijengee dar ukaja kunijengea huku jua tu ss ni pipo
Aiseee umenikumbusha, kuna jamaa tuliwasiliana naye kwamba ana viwanja maeneo ya kuvuka mbagala sijui wapi huko. Basi tukawa tumewasiliana vizuri na siku hiyo nikapanda gari nikaenda, ile kufika mbagala bhanaa na kutathmini mazingira ya pale yaani mzuka wote ukaisha nikageuza zangu na dili likaishia hapo.​
 
Sawa mm nataka viatu vifatavyo..car wash nzuri...mgahawa mzuri.. sehemu nzuri ya kucheza watoto..maduka mazuri yenye bidhaa quality na usafiri wa uhakika....
Unafeli wapi Mkuu?? Mambo yako ya Ushuani unataka uyakute uswazi?

Then uanze kulalamika na kunanga watu?

Kaa huko huko kwako penye ustaarabu acha kuvamia maisha ya watu mbona wao hawaji huko kwenu?
 
Unategemea Nini kutoka kwa wamakonde
Zaramo
Dengereko
Nyagatwa
Matumbi
Yao
Makonde
Makua
Haya ni mazalia ya CCM
Wamejaaa Sana huko,magazeti wanayosoma ni uhuru,uwazi ,mwanaspoti and the like!!
Watoto wao ni bodaboda,vinyozi,salun za kike nk!!
Starehe kubwa ni vibanda umiza ,chips Yao mbili,organ za kuku ( broiler zooote),
Watoto wao wanasoma shule za kata charambe,maji matitu nk!! Kumaliza shule ni hiari ya mwanafunzi !!
In short hizi ni breeding centers za ccm
 

Sehem mpaka ina eneo linaitwa Vikundu unategemea nn? Wamakonde wote wamejaa pale
 
In addition
Ni kweli kaka ulitoka nje ya madam na ukajikoroga kwelikweli...pia Kuna wengine wametoka nje ya mada na ku comment vitu tofauti na nilivyouliza
Huku sio wote walala hoi.huku Kuna watu wengine tu wamewekeza ,pia Kuna matajiri baadhi wanakaa huku pia viwanda ni vingi mno na vinachochea maendeleo.mana huku Kuna hadi appointment zinazolipwa kwa dollar na zingine za pesa ya madaf zinazoweza kufika 700000 per month.baadhi ya maeneo yametulia na Kuna nyumba za adabu kama utunge ,mji mpya kilongoni na kamegere,..hata gari za kifahari zipo kwa idadi flani..Ila nilichomaanisha ni kuwa wafanyabiasha wajitahid kuleta huduma Mana tuliteseka na supermarket hatmae vi mini market vipi si haba na vinapiga kazi kinoma now tunataka hizo huduma zingine ili tusizifate mbali.
 
View attachment 2802926
Sehem mpaka ina eneo linaitwa Vikundu unategemea nn? Wamakonde wote wamejaa pale
Karibu sana vikindu the new town .hapo center ni kwa kawaida na ushenzini sana..Ila ukiingia ndanindani wamejazana vigogo wa serikali ,,waarabu wa boza baharini,wahindi na wapemba..n.b ukiona eneo Lina wakatoliki na Tena wame invest shirika lao hadi chuo Cha afya basi kaa chini uwaze kidogo..
 
Huku sku hizi mkinga kaingia ndio anarun the town mchaga mpare msukuma na muha ndio wanabadilisha hali ya hewa
Ila muarabu na mpemba wapo kitambo huko ndanindani
 
Sehem zpo nying sana za kukaaa na familia. Labda ww ndio maeneo huyajui. Mfano Dar live, Kurasini Pub, Kiburugwa in etc.
N dhambi sana kujiona bora kwa ajil ya makazi
 
Jua kutofautisha kati ya Mndengeleko, Mnyagatwa, Mnyangalio na Wamatumbi, Wangindo na makabila mengineyo.
Taja kabila moja tu lililo smart nchini Tanzania.

Tofauti yao ni ipi,nifahamishe
 
Sehem zpo nying sana za kukaaa na familia. Labda ww ndio maeneo huyajui. Mfano Dar live, Kurasini Pub, Kiburugwa in etc.
N dhambi sana kujiona bora kwa ajil ya makazi
Kaka dar live Kuna walevi wengine na mitusi usiseme..hapo kuradini pub unapajua unapaskia???
 
nilidhani kwa tanzania miji iliyopakana na bahari ipo mashariki, sasa jiografia mmeibadilisha na hamtuambii, sio vizuri namna hiyo mkuu.
 

Bwana wee vikindu ni pwani iliyo poaaa. Halaf bado saana kimaendeleo, hao ulio wataja wamefanya kama kubeti tu, lakin huko bado sana mtasubiri kama miaka 20 ndo kuchachuke. Pwani inayo endelea vizuri ni kibaha na viunga vyake. Watu wahuko kuenjoy weekend wanaenda Kigamboni, sasa unasemaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…