Kusinzia Kanisani ni Dalili ya Kuingiliwa na Mapepo

Mchungaji anawadanganya hivyo ili msilale wakati anaomba sadaka
We Lucha
Ina maana Mchungaji wako kila akihubiri, mahubiri yake yanahusu sadaka tu? Kama ni hivyo nafikiri andiko hili linamhusu
Wafilipi 3:18–19
“Kwa maana wengi wanakwenda, ambao nilikuwa nikiwaambia mara nyingi, na sasa nasema kwa kulia, kuwa ni adui wa msalaba wa Kristo; Mwisho wao ni maangamizo, mungu wao ni tumbo, na fahari yao iko katika aibu yao, ambao nia zao ni za duniani.”
 
Hata darasani,wakati wa somo muhimu kabisa, mwalimu akiwa hana ladha wanafunzi husinzia
 
Kweli kabisa ulichokisema
 
Hata darasani,wakati wa somo muhimu kabisa, mwalimu akiwa hana ladha wanafunzi husinzia
White party
Tambua kuanzia leo kwamba mapepo yanaingia mahali popote kuharibu mafanikio ya watu. Kwenye biashara ya mtu, kwenye ndoa... Hata darasani yanaweza kuwaingilia wanafunzi wasinzie wakati wa somo muhimu ili baadaye wafeli mtihani. Shetani hapendi tufanikiwe kwa lolote. Ndio maana tunahimizwa kumpinga.
Yakobo 4:7
“Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.”
 
Njaa plus maneno mengi ya watumishi lazima ulale!

We unafikiri wanaongea bila vituo plus maombi yasiyo na ukomo huku njaa inauma unafikiri Hali itakuaje!!
 
Quit being silly, Biblia has nothing to do with Mungu. Unataka kuniambia ulikuwa hujuwi kuwa Biblia imetungwa na binadamu tena miaka mingi tu baada ya kifo cha YESU?
 
Quit being silly, Biblia has nothing to do with Mungu. Unataka kuniambia ulikuwa hujuwi kuwa Biblia imetungwa na binadamu tena miaka mingi tu baada ya kifo cha YESU?
If standing for truth is silly, then I’ll gladly be foolish for God.
Acha kukwepa swali: Umemjuaje Mungu bila kusoma Biblia? Umewahi kumuona Mungu kwa macho yako?
 
If standing for truth is silly, then I’ll gladly be foolish for God.
Acha kukwepa swali: Umemjuaje Mungu bila kusoma Biblia? Umewahi kumuona Mungu kwa macho yako?
Come on, God is omni present, you don't need the damn Bible or Qur'an to know God...kwani mababu zetu kabla ya hizi dini waliamini vipi Mungu? Ukiwa mjinga na mtumwa wa hizi dini ndipo unaona bila hizo dini hakuna Mungu, you are brain washed.
 
Come on, God is omni present, you don't need the damn Bible or Qur'an to know God...kwani mababu zetu kabla ya hizi dini waliamini vipi Mungu? Ukiwa mjinga na mtumwa wa hizi dini ndipo unaona bila hizo dini hakuna Mungu, you are brain washed.
Now hold on...
Kusema unamjua Mungu bila Biblia ni kama kusema unajua sheria za nchi bila kujua katiba. Yes, God is everywhere; but He chose to reveal Himself through His Word. Na kuhusu mababu zetu, walimjua Mungu kwa njia ya dhamiri na uumbaji, but that was partial. Biblia inatupa full picture. Hata hao mababu zako wangeipata Biblia, wangeishika kwa mikono miwili! 😎
 
Again unarudi pale pale kwenye Biblia, I repeat - God NEVER wrote the damn Bible, Biblia imetungwa na watu kama wewe na mimi kupitia story za kuambiwa / kusikia, unajuwa hili? Je unafahamu kuwa Biblia hiyo hiyo imechujwa mara kibao na kupotosha watu in doing so? The Bible is just a fairytale, nothing therein is believable ni kama tu hadith za Shigongo.
 
Be real for a second...
You’re right. God didn’t write the Bible with His physical hand. But does that mean He didn’t inspire it?
Biblia iliandikwa na watu, yes, but watu waliovuviwa na Mungu. Kama huamini hivyo, basi usiamini hata vitabu vya historia yoyote ile, maana vyote vimeandikwa na watu. Unless you believe only things written by God's hand are true, then throw out science, philosophy, and even your own logic.
The authority of the Bible isn’t based on human authorship, but on divine inspiration.
‘All Scripture is God-breathed…’ (2 Timotheo 3:16)

It's easy to dismiss the Bible as a fairytale when you’ve never read it with an open heart.
2 Timothy 3:16
 
The Bible is just a fairytale, nothing therein is believable ni kama tu hadith za Shigongo.
Saying nothing in the Bible is believable overlooks the vast historical evidence, fulfilled prophecies, and life-changing truths it contains. The Bible has been preserved and verified through countless manuscripts and archaeological findings. It’s not just stories, it’s a reliable record of God’s interaction with humanity.

Beyond that, millions have experienced its power in practical ways, like rebuking demons in Jesus’ name and seeing lives transformed. This shows the Bible is alive and active, not just words on a page.
 
My dear!
All you are saying herein ni pure fantasies tu, there's no truth kuwa Biblia ni kitabu cha Mungu. Do you know how Christianity emerged hapa duniani, ni Mungu aliumba Ukristu au watu tu kama vile wewe na mimi? Tuanzie hapa kwanza, I have news for you.
 
I wanna laugh but saving myself for now for this fallacy....have you studied history of these religions and how they came about? Anzia hapa kwanza kisha tuje kujadiliana.
 
My dear,
Christianity haikuibuka tu kama idea ya binadamu. It started with Jesus, not a system. Na huyu Yesu hakuandika kitabu, lakini historia nzima ikabadilika kwa jina lake. Why?

Kama Ukristo ni “fantasy,” how come watu walikufa wakiutetea tangu karne ya kwanza hadi leo? Who dies for a lie knowingly?

Biblia iliandikwa na watu, yes, lakini watu walioongozwa na Mungu kuleta ujumbe muhimu sana, uliodumu kwa maelfu ya miaka bila kupingwa kihistoria.

So, kabla hujaniletea "news," tafadhali, soma kwanza hiyo Biblia yenyewe na moyo ulio wazi. Kisha urudi tujadiliane kama watu wazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…