Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Hasa hasa postgraduate za computer! Ni uhuni mtupu! Mtu unamaliza Masters au PhD ya computer hujui kuandika hata code program ya kuomba maji??? Shame on you!
 
Sir
e hakuna kitu nilichukia kama ufundishaji wa statistics pale Mlimani. Ni kama ulivyosema lecture anakomalia historia ya statistics na nadharia nyingi na kufanya statistics kuonekana ngumu mno.

Hakuna matumizi ya modern statistics softwares tena nashangaa kama bado watu hawafundishwi softwares kama R, Matlab, SPSS, nk! Ufundishaji wa hovyo sana huo na haunsaidii mwanafunzi.
 
Ofcoz UDSM katika maswala mazima ya statistics hawako vizuri becoz wao wanafundisha theory tu ila practical hawatoi kwamfano....mwanafunzi anahitimu bachelor in statistics lakin hajui kutumia software yoyote ile....naaman hajui STATA au R au SPSS..SAS. so unategemea atajiliwa na nan kama hujui hivy vitu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndiyoooooo
 
Don't worry bro..tutafute tukufundishe software zote za statistics becoz the best University of statistics is UDOM
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sishauri mtu kusoma postgraduate udsm ni wasumbufu mno wahadhiri wako busy na mambo Yao una print unapeleka na kufanya follow up siku unayoenda kumuona mhadhiri ka miezi mitatu alishapoteza u print Tena na hawataki utume softcopy.
Udsm badilikeni muache ushenzi wa kupotezea watu mda
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dear usicheke udsm ni washenzi hawajali time management unasoma masters yako Hadi unapata depression unavohangaika kusafiri kutoka mkoani na kulia Lia ndio furaha zao. Huku extension fee kubwa, shoga angu Hadi nusu mimba imuue kisa stress.
So udsm sio swala la akili Kuna tatizo la wahadhiri kukaa na kazi yako hata miezi minne no one cares
 
Duuuh hapo sasa wanakosea sanaaa, daaah
 
Haya maoni yako utafikiria ulikuwa kichwani mwangu kabisa, hata udsm walivotutafta tutoe maoni ya kubadili niliwaambia maoni ka haya uliyoandika kuhusu hata masomo ya reflect ku solve matatizo ya jamii pia Kwa kushirikiana na mashirika na taasisi ni sehemu ipi iwe na focus ili taasisi kupitia wanafunzi na tafiti ipatikane solution, shida Yao wameridhika hawafikirii nje ya box pia wahadhiri hawataki mawazo mapya wanataka vilivyomo vichwani mwao.
I told them huko makazini na mlivotufundisha applicability yake ndogo and you have to learn new things. Sasa hii mitala yetu ukifanya kwenye international organization inabidi ku learn vipya tofauti na madesa ya ku cremisha, hafu sikuhizi vitu vinabadilika huku vyuoni wanatumia desa lile lile zaidi ya miaka Kumi.
I think pia ni mda wa kuanza kuajiri wahadhiri ambao tayari wanauzoefu na kazi ya anachofundisha sio mtu ana gpa kubwa anafundisha tu huku hajawahi kukifanyia kazi. Ukija kitaa vitu ni irrelevant. Udsm wanasumbua Kwa research ila kazini research haichukui mda na tatizo linajulikana na kuwa solved tofauti na ma dissertation ya udsm yaliyo kosa msaada Kwa jamii
 
[emoji2][emoji2] unaweza kufa kabisa Kwa depression hafu ukija makazini unaona chuoni ulikuwa una soma ujinga. Nawashauri watu wasi rely kwenye haya madesa yetu wawe wanaingia online au YouTube kusoma classes ya mambo Yao ili wawe deep, hii ya udsm watakupa stress na kitu ambacho relevance yake kazini ni ndogo mno
 
Au mtu ana soma accountancy Hadi ana maliza hajui software yoyote inayotumika na wahasibu
Au mtu ana maliza dissertation Ali cremisha tu kothari huku hajui ku create software za data collection, Kuna zile za data analysis kama stata, Kuna nvivo, spss Sasa Hilo somo linakuwa halina maana na hata mhadhiri hazijui hizo.
We need to change wallah
 
Mimi nipo mbioni kuanza hapohapo..
Ila hili la usumbufu ni kweli.


Dada yangu amesoma hapo postgraduate,alikiona cha moto..
Na hapo angalau yeye alikuwa na afadhali, Supervisor wake alikuwa na ubinadamu yule Baba.
Wenzie waliosimamiwa na wengine ni miaka minne wamesota sana hadi kumaliza🙌,wengine wakaamua kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…