Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Kusoma Postgraduate (Master/PhD) UDSM majanga

Sasa shule gani ya kifala hivi kama unatafuta ufalme wa mbinguni, kumbe li cheti la hapo jalalani.

Wakati graduate wao na ma_prof/drs hamna maajabu wanafanya huku mtaani, yaani impact zero.
Wengi wetu ile heshima kwamba ameunga UD hadi mwisho..
Na wengine ambao hatukubahatika kusoma hapo undergraduate,ndio sasa mtu anaenda timiza ndoto zake kusoma hapo postgraduate...
Matokeo Yake sasa ni majuto..
Heri vyuo vya private.

Gvt kuna kutesana sana.
 
Nilichoka kweli yani hafu saa nyingine ilisharekebishwa yule mtu hasemi anakurudishia tu haijaguswa ili usumbuke.
Watanzania tupunguze kutesana tuwe problem solver if you can help someone please rahisisheni maisha.
Hafu ma classmate wangu niliwaacha wanateseka mpaka Leo wake zao kulia tu. Huyo mmoja alitakiwa aongeze elimu apande cheo mpaka Leo hola Huwa anajipigia zake bia [emoji2][emoji2][emoji2]
Yaani acha tu[emoji1787]
Tunachowaza wabongo ni kukomeshana.
 
Anza tu usiogope Wala Nini utatoboa ila waliotoka vyuo vingine huteseka kuanzia assignments si mchezo,mwaka mmoja wa course work ni sawa na miaka 3 ya undergraduate. Assignment zote ni wewe na desa nilikuwaga silali.
So nenda ukiamini utatoboa
Wakati mzuri ni sasa

Majukumu ya familia yakishaanza inakuwa ngumu sana kumanage mambo
 
Wewe utatoboa mapema sana[emoji1787].

Ila Ndugu yangu, na huyo Cariha wote wamesoma kuanzia undergraduate hapohapo.
Na Bado Cha moto wakakiona.
Ko usiwasikilize wanaosingizia kwamba ukilaza.
Nenda ujionee watu wanavyohustle.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mnanitishaa mnoo, hadi nawaza nijitulize kwan.
 
Wewe utatoboa mapema sana[emoji1787].

Ila Ndugu yangu, na huyo Cariha wote wamesoma kuanzia undergraduate hapohapo.
Na Bado Cha moto wakakiona.
Ko usiwasikilize wanaosingizia kwamba ukilaza.
Nenda ujionee watu wanavyohustle.
Nimeanzia palepale na GPA yangu nzuri tu na vingi nilianzia palepale, so swala sio ukilaza ni mitala tu ukiritimba Mimi Dr wangu wa undergraduate alisoma master's miaka 4 na Leo kashakuwa prof so Huwa Kuna kiukiritimba waliomkomoa kashawaacha mbali na ana project nyingi. Roho nzuri ilimsaidia yule baba aisee
 
Yaani acha tu[emoji1787]
Tunachowaza wabongo ni kukomeshana.
Wacha kabisa nilipataga tatizo Hadi la ku........ Tu kisa hyo mambo full kulia ofisini hata hawajali, Tena wanakwambia kwanini umalize shule umri huu sisi tumesota kweli hamna shida ukichelewa [emoji2][emoji2][emoji2]Dunia Ina mashetani nyie hii ingawa iliumbwa nzuri
 
Usijichanganye kusoma Masters au PhD UDSM utajuta hizo course za Research sijui Methodology walimu wanabahatisha.

Dunia ya Leo imejaa Statistical analysis tools/software Ila mtu kutwa kakomaza fuvu kuelezea historia ya Standard Deviation by Kothari (2004).

NB Postgraduate office wao wanajua kugawa majoho tu.
hiyo ndiyo UD, katafute vyuo vyako vya mitaani utapata hivyo vyeti unavyovihitaji hata usipoingia darasani
 
Back
Top Bottom