saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
we umeshashidwa mambo ya elimu bora ukae kimya.Taasisi za elimu za Tanzania katika uendeshaji wake wa kitaaluma huwa zinaamini katika kumbana mwanafunzi na kumdhibiti asionyeshe uwezo wake personally ambao anao katika hiyo principle anayosomea.
Mfano uongeze findings zako utashangaa mwalimu anakuwekea bifu kwamba unajifanya unajua sana.
Matokeo yake tunauwa ile dhamira ya vijana kujifunza na kubakia kuwa watwana na maketeka wa mfumo ambao hata wakimaliza 90% ya contents ni inapplicable kwenye market.
Hebu leo tafuta wahitimu wa degree wa vyuo tofuti wakuonyeshe wanachoweza fanya ambacho wamejifunzia chuoni utagundua wengi wao wanaishi kwa kanuni za mtaa na wana apply kidogo sana vile darasani.