Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia?
Your browser is not able to display this video.
Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa?
Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao?
Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika haya ni matokeo ya wazi ya ombwe litokanalo na uongozi ulio dhaifu. Watu aina hizi walipaswa kukemewa pasipo na kuwaonea haya.
Udhaifu, iliwaudhi mno aina za kina Yobo. Tusipende mno kusifiwa hata tusipostahili. Udhaifu si tusi, bali dhana sahihi ya ukosoaji yenye lengo zaidi la kujenga.
Kwanini wanakofanikiwa kwenye harakati zao, huko viongozi wao huhama vyama na hata wakabadili washirika bila ya unyanyapaa wa kipuuzi kama wa huku kwetu?
Laila alijiunga na KANU, akawa na Ruto, Kibaki, Kenyatta, Mudavadi, Wetangula, Musyoka, nk na matokeo yake huko mwenye nchi mwabanchi? Ila sisi tumeshindwa kuelewa kutokuwa na maadui wa kudumu kuna faida kubwa kwa nchi zaidi ya faida binafsi.
Kwetu walikuja kina Lowassa(r.i.p), Sumaye, Ngombale(r.i.p) nk ambayo ilikuwa ni hatua njema mno. Tulipiga hatua mbele kiasi gani kipindi hicho? Ni mamburula peke yao wenye kuthubutu kuyabeza mafanikio ya kipindi hicho.
Kwanini iwe dhambi kwa Mbowe, Lissu au Msigwa au awaye yote kuhamia CCM wakati wowote? Au kwa Nape, Januari, Mpina au awaye yote kuhamia CHADEMA au ACT Wazalendo? Hatuwezi kuyaweka maslahi ya nchi yetu mbele?
Utayasikia mamburula mburula, "hatumtaki huyo!" Kwani wewe ni nani ndugu? Au hata kwa CV yako ipi basi yenye kuweza kutushawishi hivyo na wengine basi?
Kwamba kama vipi mkaanzishe chenu au mhame chama? Looh! Kwanini hayo yasiwahusu ninyi?
Shughuli ni watu. Hii nchi haiwezi kukombolewa ndani ya wimbi la ujinga ndugu zangu.
Punguza povu.huyo msigwa unayemtetea hana maana kwa dunia ya wastarabu.hakuna mtu anayekatazwa kusema ila sema pale ambako kuna mizania sawa yakupeana majibu.Kwasasa ilo halipo kwasababu yeye yuko kwenye kinga ya watawala ndo maana anaropoka ovyo,je na hao anaowasema wana haki sawa yakumropokea kama yeye anavyofanya?.

Wapi katetewa Msigwa achilia mbali povu ambalo labda ungetamani mno liwepo?
Wewe unadhani huyo mwenye safari ya Congo ndiyo ma think tank sasa wa kukisemea hiki chama na ulipo ndiyo uko kwenye kukenua kuwa katoa points mno huyo ndugu?
Kulikoni kukidhalilisha chama hivi?
Hakuna kigeni kwenye mtu kuhama chama na tungekuwa na akili, wengi tungehamia CCM wakiwamo kina Mbowe, Lissu na wengine tukawabomoe kutokea huko huko!
KANU ilikufa kwa mkakati wa Raila aliyeingia kule kwa dhamira kamili.
Muyaone hayo vipi kama upeo wa kuona si zaidi ya pia zenu?
Right ya kwenda public kumsema mtu chochote unachoamini - baada ya kuhama chama?
Totally IRRATIONAL viewpoint.
Btw, you would also buy this, certainly: Dr. Mollel alipohama CHADEMA aliongea public kuwa yeye alikuwemo katika mpango wa CHADEMA kumpiga Lissu risasi.
Btw, you would also buy this, certainly: Dr. Mollel alipohama CHADEMA aliongea public kuwa yeye alikuwemo katika mpango wa CHADEMA kumpiga Lissu risasi.
I hope you buy this: Lissu anayo capacity ya ku appreciate na ku implement agenda ya masafa marefu yenye uwezo wa kuiangusha CCM, Raila style na ndiyo maana huko kuna vibrant Gen Z.
Zingatia:
CCM haitatolewa madarakani kijinga, above all na wajinga!
Wapi katetewa Msigwa achilia mbali povu ambalo labda ungetamani mno liwepo?
Wewe unadhani huyo mwenye safari ya Congo ndiyo ma think tank sasa wa kukisemea hiki chama na ulipo ndiyo ukwe kwenye kukenua kuwa katoa points mno ndugu?
Kulikoni kukidhalilisha chama hivi?
Hakuna kigeni kwenye mtu kuhama chama na tungekuwa na akili wengi tungehamia CCM wakiwamo kina Mbowe, Lissu na wengine tukawabomoe kutokea ndani!
KANU ilikufa kwa mkakati wa Raila aliyeingia kule kwa dhamira kamili.
Myaone hayo vipi kama upeo wa kuona si zaidi ya pia zenu?
..Demokrasia ndio salama yetu pamoja na kasoro zinazojitokeza.
..labda nisemee kidogo suala la UHAMAJI wa wanasiasa wetu.
..wanasiasa wa Tanzania uhamaji wao ktk vyama uko tofauti na uhamaji wa wanasiasa ktk demokrasia zinazopigiwa mfano.
..mwanasiasa anatakiwa kuhama chama kama atabaini chama chake kinamkwaza ktk itikadi na misimamo yake kisiasa.
..tatizo la wanasiasa wa Tanzania unaweza kukuta amejulikana na kujenga brand kutetea mambo fulani.
..Halafu mwanasiasa huyo anadai chama chake kimemkwaza, na anahamia ktk chama ambacho kinapinga mambo yote aliyojijengea sifa kuyapigania wakati wote ktk maisha yake ya kisiasa.
..kwa wenzetu mwanasiasa mhafidhina huhamia chama kingine cha kihafidhina. Ni nadra kukuta mwanasiasa mhafidhina akahamia ktk chama cha kiliberali.
..Ninachoweza kusema ni kwamba hapa Tanzania wanasiasa huwa hawahami vyama tu, bali wanachofanya ni kujikana wao binafsi, na kuyakana mambo yote waliyoiaminisha jamii, wanapohama vyao.
..Kwa kifupi, wanasiasa wa Tanzania, wanatumia ndivyo-sivyo, haki ya kujiunga, au kujitoa ktk vyama vya siasa.
..Halafu mwanasiasa huyo anadai chama chake kimemkwaza, na anahamia ktk chama ambacho kinapinga mambo yote aliyojijengea sifa kuyapigania wakati wote ktk maisha yake ya kisiasa.
Hivi ni visingizio vitupu ndugu. Raila amewahi kuwa na ushirika na hata kutofautiana na kina Moi, Kibaki, Kenyatta, Mudavadi, Wetangula, Karia, Musyoka, Ruto, nk na maisha yanasonga Hadi leo.
Matokeo yake ni hili ni hili vibrant Gen Z ambalo sisi limetushinda.
Tunaugonjwa wa kujiwekea maadui wa kudumu kama vile sisi tu wasafi ki hivyo.
Tatizo letu la hapa siyo siri, ni ujinga. Mengine tuyaonayo ni yatokanayo tu.
Ndiyo maana tuna taabu kubwa na wasomi. Ya kuwa tungependa kuwaponda wasomi. Wasomi ni engine, hawakwepeki.
..Ninachoweza kusema ni kwamba hapa Tanzania wanasiasa huwa hawahami vyama tu, bali wanachofanya ni kujikana wao binafsi, na kuyakana mambo yote waliyoiaminisha jamii, wanapohama vyao.
Kwa hakika hadi tutapokuwa na chaguzi huru na za haki zenye kuanzia kwenye primaries, labda kama ilivyo kwa beberu kuanzia vyamani huko, bado tupo tupo sana.
Shida ni kusema madhaifu ya huko ulikokua na hukuwahi kuyasema kabla lakini pia hukuonekana hata kujaribu kutaka kuyarekebisha...
Kuna mengi mabovu ya ccm aliyasema akiwa chadema, na bila shaka hatopaza sauti kusema wala kushauri hata baya moja aliloisemea ccm akiwa chadema.
Siku akihama ccm tena akienda chama pinzani, ataanza kuisemea vibaya ccm huku yale mabaya aliyokua anakisema chama pinzani akiwa ccm akiyaweka kwapani na kujifanya yuko sahihi tena..
Ni kweli wanasiasa ni waongo waongo ila isizidi sasa, inakua ujuha na upumbavu, na taifa haliwezi kupata maendeleo kwa namna hiyo.
2. Huyu ni katika mazingira kamili kama yetu kutokea kwenye kadhia ya chama kimoja, katiba mbaya, upinzani, maridhiano, kupata katiba mpya Hadi nchi mikononi mwa wananchi.
3. Huyu aliingia chama tawala kwenda kuwavunjilia mbali huko huko. Labda Msigwa naye ni mwanzo mzuri huo wakupiga makombora ya mbali Raila style?
4. Labda Msigwa ni mjumbe mamluki huko alikokwenda?
5. Hata kama Msigwa CCM, labda si agenda ya chadema, basi yawezekana sasa tuna la kukumbuka kwa Raila kupeleka umamluki ikibidi ikibidi?
6. Nani asiyejua CCM haitatoka kijinga wala kutolewa na wajinga.
7. Kumbe uko wapi mkakati wa kuwatoa CCM lini madarakani?
8. Katiba mpya haitapatikana mezani, kwani hata Raila hakuipata hivyo na mapambano yanaendelea:
1. Mada umeielewa lakini au na wewe ni kama huyo ndugu mwenye kuwahi mtaa wa Congo?
2. Mada hii haimhusu Msigwa hata kidogo japo hata kama ungependa kumwongelea huyo, kwamba labda alidhani kutakuwa na mabadiliko basi na anyamaze sasa Kwa vile tu hakuwa amesema?
3. Kwamba hapo #3 kwanini huoni kama ndivyo Bado huna lolote la kuwaambia chadema Wala mheshimiwa Mbowe au awaye yote?!
Shida ni kusema madhaifu ya huko ulikokua na hukuwahi kuyasema kabla lakini pia hukuonekana hata kujaribu kutaka kuyarekebisha...
Kuna mengi mabovu ya ccm aliyasema akiwa chadema, na bila shaka hatopaza sauti kusema wala kushauri hata baya moja aliloisemea ccm akiwa chadema.
Siku akihama ccm tena akienda chama pinzani, ataanza kuisemea vibaya ccm huku yale mabaya aliyokua anakisema chama pinzani akiwa ccm akiyaweka kwapani na kujifanya yuko sahihi tena..
Ni kweli wanasiasa ni waongo waongo ila isizidi sasa, inakua ujuha na upumbavu, na taifa haliwezi kupata maendeleo kwa namna hiyo.
Mada hii haimhusu mtu achilia mbali Msigwa bali kusua sua kwa ukombozi wetu.
Zingatia tuna Gen Z dhaifu ikisubiria katiba mpya mezani.
Inawezekana namna gani?
Kwa maana hiyo ninalazimika kuya paste haya hapa kwako pia:
1. Mada umeielewa lakini au na wewe ni kama huyo ndugu mwenye kuwahi mtaa wa Congo?
2. Mada hii haimhusu Msigwa hata kidogo japo hata kama ungependa kumwongelea huyo, kwamba labda alidhani kutakuwa na mabadiliko basi na anyamaze sasa Kwa vile tu hakuwa amesema?
3. Kwamba hapo #3 kwanini huoni kama ndivyo Bado huna lolote la kuwaambia chadema Wala mheshimiwa Mbowe au awaye yote?!
Mtamaliza bucha zote ndugu, lakini nyama ni ile Ile.
Kutokuwa na adui wa kudumu ni kule kule kokote, ambako hata tisiowapenda Kwa sura wakati wowote, hatuwezi kuwa delete milele katika harakati za ukombozi: