Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unaipima IQ jf, post hapa matokeo yako ya IQ test uliyofanya..Kwanini mjitekenya mcheka usiwe wewe?
Kwanini isiwe kuwa huyo unayemdhania ndiye asiwe siye?
Bila kusahau post #2 inakuhusu sana:
Kwamba una IQ ndogo sana kijana; kwanini hilo liwe tatizo langu?
"Komaa kamanda, kunja ngumi zungusha."
Inasemekana kuwa kauli pendwa ya sultan mmoja anayemiliki chawa wa kulipwa wa aina yako.
Anyway watu wa majigambo namna yako hamfai kuanzisha nyuzi za mijadala ambayo itatoa mawazo tofauti na jinsi ninyi mnavyofikiri.