Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Unaipima IQ jf, post hapa matokeo yako ya IQ test uliyofanya..Kwanini mjitekenya mcheka usiwe wewe?
Kwanini isiwe kuwa huyo unayemdhania ndiye asiwe siye?
Bila kusahau post #2 inakuhusu sana:
Kwamba una IQ ndogo sana kijana; kwanini hilo liwe tatizo langu?
"Komaa kamanda, kunja ngumi zungusha."
Inasemekana kuwa kauli pendwa ya sultan mmoja anayemiliki chawa wa kulipwa wa aina yako.
Unaipima IQ jf, post hapa matokeo yako ya IQ test uliyofanya..
Anyway watu wa majigambo namna yako hamfai kuanzisha nyuzi za mijadala ambayo itatoa mawazo tofauti na jinsi ninyi mnavyofikiri.
Ni aina ya watu wanaojizungusha na mara nyingi huwa hawana hoja inayoeleweka, anarukaruka ili akibanwa apate loophole ya kutokea kua mm sizungumzii hayo...Wewe ni mnafiki na muongo. Una chuki na baadhi ya viongozi wa upinzani. Unaandika maneno marefu ya kuzunguka zunguka kujifanya una hoja ya maana ukitarajia wataondoshwa kirahisi kupitia maneno tu.
Speak directly. Kufurahia kwa kificho kauli za wanasiasa uchwara kama Msigwa na Mollel hakuna tija. Weka msimamo wako wazi ueleweke. Wako watu watakuunga mkono na pengine hata kuchukua hatua. Come outta closet!
Sistahili pole ndgu.Yako posted post #2 kwa ajili yako.
Pole lakini ila habari ndiyo hiyo.
Sistahili pole ndgu.
Sawa.Kusuka au kunyoa hiyo ni shauri yako