Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance.

Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
 
Sheria isipowekwa nakwambia ipo siku utakuta video za pornography ndo zinapostiwa tuuu ....
Kwa Mchakamchaka Wa Ukuaji Wa Teknolojia Wa Kasi Hilo Linakuja Kuwa Kama Unavyotizama Taarifa Ya Habari,,Tena Kwa Nchi Zetu Hizi Vilaza Kibao Tutashuhudia Mengi Zaidi Ya Haya Tunayoendelea Kuyashuhudia
 
Back
Top Bottom