Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

Kutafuta views, followers na trending kusitufanye kuvuka mipaka ya maadili, huyu mtoto hakupaswa kukaririshwa haya matusi

Aliyemrekodi na kumposti amekosea sana. Kumlisha mtoto maneno kama hayo si sahihi kabisa.
 
Mie sijaangalia hio clip lkn kutokana na comments za members naona km haikuwa sahih kuipost humu pia.
Itakuwa na sisi tunaendelea kueneza uovu
 
Back
Top Bottom