Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Serikali yetu as long as haujaikosoa au kukosa Chama basi fanya kila unachotaka hakuma shida. Uharifu hauwezi kuisha. Huko Youtube ni aibu tupuSheria isipowekwa nakwambia ipo siku utakuta video za pornography ndo zinapostiwa tuuu ....
Admin futa hii kitu kwa maafili machache tuliyo nayo anyway!!!Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance.
Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
View attachment 3254752
Huyu mtoto ni mjinga sana. Aliyemrekodi pia ni mjinga sana
Kuna jitu zima hapo pembeni linacheka badala ya kukemea, na hilo ndilo utasikia limekinajisi hicho kitotoKwakweli sijui wazazi wengine wanawaza Nini.. Mungu saidia vizazi vyetu
Very disturbing πHii ndiyo dunia dunia rangi hii rangi ile...
Wazazi kuna mahali walipwaya katika malezi siku nyingi sana. Very disturbing πNikikutana na vitu kama hivi huwa nasikia maumivu makali sana. Kwanini tuwashirikishe watoto kwenye upuuzi wetu?
Mzee hii ni kipengele sanaInasikitisha sana afu huyu ni bado mtoto mdogo mno
Kabisa, sio maadili ya kitanzaniaAiseeeee tumsagie kunguni huyu aliyefanya hivi. Please Waziri @Dr Gwajima fanyia kazi hii.
πππππππMimi sija piga vita kuto kuoa, napiga vita ndoa zisizo na haki au kuwa na uthabiti.
Ndoa ni muunganiko, single mother ni mtu.
Hayo maneno itakuwa wamechomeka tu, angalia lips zake zinaenda tofauti na maneno. It's bad kuwachafua watoto kiasi hicho kwani wanachafua wazazi/walezi wa mtoto pia. This clip is as fake as fvck.Tusitafute views kwa kuwahusisha watoto na vitendo na maneno ambayo hayazingatii Parental Guidance.
Huyu mtoto anaongea matusi makubwa sana ambayo ni kwa watu wazima tu ndiyo wanapaswa kuyatamka.
View attachment 3254752