Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba pair moja kutoka kwa Baba na moja kutoka kwa Mama.
Mfano Baba ni AB+ na Mama ni A+
Basi inakuwa hivi
Kwahiyo mtoto atakuwa na blood groups: A, B, AB
Na si vinginevyo.
Kama Baba ni A+ na Mama ni A+
Inamaana ni AA kwa Baba. A AA kwa Mama Bas hamuwez kuwa na mtoto blood group tofauti na A.
Akiwa B au O bas jua Baba sio ww.
Madaktar na wale mabingwa wataongezea.
NB : Wale wenye madukuduku na masononeko ya kulea mtoto ambaye huna uhakika nae hasa wa nje.
Try at your own risk.😎😎😎😎
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
- A au AO
- B au BO
- AB (au A na B)
- O
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba pair moja kutoka kwa Baba na moja kutoka kwa Mama.
Mfano Baba ni AB+ na Mama ni A+
Basi inakuwa hivi
- Mama A + baba A = A
- Mama A + baba B = AB
- Mama O (kama AO) + baba A =A
- Mama O (kama AO) + baba B = B