Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,985
- 21,212
lazma tuulize tujue kama tunafukuza watu au laah 😆😆😆Taratibu na hayo maswali. mtamuua mleta uzi
lazma tuulize tujue kama tunafukuza watu au laah 😆😆😆Taratibu na hayo maswali. mtamuua mleta uzi
😂😂😂🤣🤣😂😂😍😍❤️💕Dokta uchwara
Nawauliza madokta wa jfLETE MANENO...
Si ndo hapo anataka tu kutuchania mkeka huyu😏Mtoto akizaliwa ndani ya familia mkubabali tu ni wa kwako.
Hizo mbwembwe za kuchimba ukweli mtakuja mfe.
Ukute na wewe sio mtoto wa baba yako
Kama mama A+ baba B+ mtoto A+ imekaaje hapa?
Group la damu sio kithibitisho kama mtoto wako tafuteni hela mkapime DNA la sivo mtalea watoto wa bodaboda had akil ziwakae sawa
Nikiwa O_level nili kua na mawazo kama ya castle lite.Ikitokea una Baba A + Mama A + mchepuko wa Mama A(baba wa mtoto)
Utajuaje kama mtoto sio wa kwako
Njia inayofaa kidogo ni ipi dr au tulee tu hivyo hivyo tuache kuchunguzaNikiwa O_level nili kua na mawazo kama ya castle lite.
Nikiwa kama mdau wa afya mwandamizii senior kutumia BLOOD GROUPS kutambua mtoto ni wako ama sio wako ni sawa na kale ka MCHEZO TULICHEZAGA UTOTONI KANAITWAGA "" ANA..ANA..ANADO..MASPRINGI...MATIDO..KAJAMBA...MFUZI UNANUKA..TENA SANAAA..SANAAAAAA KABISA....TUMPELEKE KWA NDUGU ZAKE..ASIJE KUSEMA..KWA BABA YAKE...YESA...YESA..YEEEEE.
NB. KITAALAMU HAIPO SAWA KUTUMIA BLOOD GROUPS KU DETECT MTOTO NI WAKO AMA SIO WAKO..
DNA TESTING ndio njia sahihi na ya KITAALAMU.Njia inayofaa kidogo ni ipi dr au tulee tu hivyo hivyo tuache kuchunguza
Mfano, A0 na BO hawa wakizaa wanaweza zaa toto lenye group lolote la damu A, B, AB na 0
Sasa hapo utajuaje kama umepigwa?
JE ukisalitiwa na mtu mnalingana group la damu?
Ila Wazee wana mbinu nyingi ambazo hawajatufundisha sijui kwaniniDNA TESTING ndio njia sahihi na ya KITAALAMU.
Mimi huyu Binti yangu mdogo ana mwaka mmoja na nusu kafanana sana na Mimi Kila kitu sura ,weupe yaan ni kama nimejizaa mwenyewe.
NB. Wazee wa ZAMANI WALIKUA NA DNA TEST ZA ASILI / YUPO SHANGAZI YANGU HUYU YEYE ANAO UWEZO WAKUANGALIA MTOTO NA KUSEMA / KUTAMBUA MTOTO NI WAKO AMA UMESINGIZIWA.
Sisi tulikuaga na matambiko ya ukoo sikuizii / elimu usasa unafanya tuna acha Mila na desturi nzuriii...mfano sisi ndio tumeachana na tamaduni za ma Babu zetu...unajua hata hizi miti zinaongeaIla Wazee wana mbinu nyingi ambazo hawajatufundisha sijui kwanini