Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
😅😅waahUnaweza tu kumtambua mtoto kama ni wako ama si wako bila hayo ma DNA na blood group. Kuna mafeelings flani hivi.
😅😅waahUnaweza tu kumtambua mtoto kama ni wako ama si wako bila hayo ma DNA na blood group. Kuna mafeelings flani hivi.
Taratibu na hayo maswali. mtamuua mleta uziIkitokea una Baba A + Mama A + mchepuko wa Mama A(baba wa mtoto)
Utajuaje kama mtoto sio wa kwako
😅😅Mtoto akizaliwa ndani ya familia mkubabali tu ni wa kwako.
Hizo mbwembwe za kuchimba ukweli mtakuja mfe.
Ukute na wewe sio mtoto wa baba yako
Hii njia sio ya kaaminika mkuu, kwanza ni uongo. Watu wengi ni group 0 na A dunia nzima, AB ni 0.01℅ ya watu wote. Hivo ukiwa wew A na mchepuko wa mkeo A na mke A. Hapo mtoto n A, je huyo mtoto atakuwa wako???
👍😍❤️DNA test ndiyo still reliable kuliko hiyo!
Hata hivyo sura na tabia ya mtoto inatosha kujua ni mtoto wako au la!
Itajuaje?Kupigwa ni kujitakia tuu.
Tunasema kujiendekeza.Yaani mtoto asiwe wako usijue sasa utakuwa unajua Jambo gani kwenye huu ulimwengu.
Ninachojua wanaume wengi wanajua huyu mtoto sio wangu ila wanakausha. Ila kusema hawajui ni kuwatukana
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😍😍😍😘
Vizuri
Mimi. Labda ni O
Mchepuko wa Mke wangu labda naye ni O
Mke wangu labda ni B.
Mtoto akiwa O nitajuaje ni wangu au mchepuko? Au other factors remain constant
UmepigwaKama mama A+ baba B+ mtoto A+ imekaaje hapa?
Kwishaaaa😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😍😍😍😘
👍✨️Taratibu na hayo maswali. mtamuua mleta uzi
Kabisa MkuuKwishaaaa
Uko sahihi.Hivi kwa biology yangu ya o level, nakumbuka O ni recessive ikisima na A, hilo ni group A, yahani group A- Phenotype ni either AA or Ao genotypes. Vivyo hivyo kwa group BI.
HAPO CHINI KWENYE MABANO SIJAELEWA
- Mama O (kama AO) + baba A =A
- Mama O (kama AO) + baba B = B
Mleta uzi yupo sahihi alicho kosea ni kusema 👉 unaweza kujua mtoto ni wako au la kwa kutumia magrupu ya damu ...alitakiwa kusema 👉 unaweza kutambua kuwa mtoto siyo wako kwa kutumia magrupu ya damu.Hii njia sio ya kaaminika mkuu, kwanza ni uongo. Watu wengi ni group 0 na A dunia nzima, AB ni 0.01℅ ya watu wote. Hivo ukiwa wew A na mchepuko wa mkeo A na mke A. Hapo mtoto n A, je huyo mtoto atakuwa wako???
Dokta uchwaraUmepigwa