Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

Kutambua Kama mtoto ni wako kwa kutumia Blood Group

Hawawez kuzaa O group.

Pia hii ni njia nyongeza tu.
Ni sawa Baba mweusi ila Mama mweupe na kazaa mtoto mweupe anayefanana na Mama.
Utaomba DNA?.
Kama kazaliwa kwenye ndoa unakausha tu huku unaanza upepelezi wako na unaweza kuanzia kwenye blood group.
Unauhakika hawawez kuzaa group O au unabishia uzoefu?
 
Baba A na mama B
Ina maanisha hizo ndio ziko dominant hivyo hawawez toa group O
 

Attachments

  • Screenshot_2025-12-02_222759~2.jpg
    Screenshot_2025-12-02_222759~2.jpg
    40.8 KB · Views: 27
Mtoto ni wako.
Mama A ao AO
Baba B au BO

Hiyo O ni recessive . Iko tu kukamilisha pair na sio dominant.

Mtoto atatoka group A , group B au group AB.

Ila hawez toka group O.
Maana wenye Group O means O ni dominant kwahiyo lazima mzaz mmoja wapo awe na Group O.
Hii kitu uwezekano wa kuchapiwa ni mkubwa sana.
Labda uhakikishe wewe ni A uoe A, au B uoe B kwisha
 
Nchi za kusini mwa Africa wana DNA Yao ya asili na ikilinganishwa na ya kisasa matokeo ni asilimia 99.99
Mtoto akizaliwa analetwa ng'ombe aje amnuse mtoto akilia ni haramu ila asipolia ni wa familia.
 
Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.

Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.

Iko hivi.
Blood group ziko 4.
  • A au AO
  • B au BO
  • AB (au A na B)
  • O

Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)

Kila mtu anabeba pair moja kutoka kwa Baba na moja kutoka kwa Mama.

Mfano Baba ni AB+ na Mama ni A+

Basi inakuwa hivi
  • Mama A + baba A = A
  • Mama A + baba B = AB
  • Mama O (kama AO) + baba A =A
  • Mama O (kama AO) + baba B = B

Kwahiyo mtoto atakuwa na blood groups: A, B, AB
Na si vinginevyo.

Kama Baba ni A+ na Mama ni A+
Inamaana ni AA kwa Baba. A AA kwa Mama Bas hamuwez kuwa na mtoto blood group tofauti na A.
Akiwa B au O bas jua Baba sio ww.

Madaktar na wale mabingwa wataongezea.

NB : Wale wenye madukuduku na masononeko ya kulea mtoto ambaye huna uhakika nae hasa wa nje.
Try at your own risk.😎😎😎😎

Blood group haikupi conclusive evidence kwamba mtoto ni wako, kwa sababu hata mtoto ambaye si wako ambaye baba yake ana blood group kama yako atakuwa na blood group inayotakiwa kuwa ya baba mwenye blood group yako.

Blood inaweza kukuonesha huyu mtoto si wako. Kwa sababu hana blood group ya mtoto anayetakiwa kuwa na baba mwenye blood group yako.
 
Haya majamaa ambayo hayajaenda shule ndio yanakuja kutusumbua huku mtandaoni ma habari za upotoshaji . Hivi mtu kabala hujaandika kitu huwezu hata kujihoji?
 
Sisi tulikuaga na matambiko ya ukoo sikuizii / elimu usasa unafanya tuna acha Mila na desturi nzuriii...mfano sisi ndio tumeachana na tamaduni za ma Babu zetu...unajua hata hizi miti zinaongea
Kuna wale jamaa West Africa wanamuweka mtoto kwenye zizi la ng'ombe! Kama sio damu ya ukoo aisee Ng'ombe dume zinashughulika naye balaa
 
Haya majamaa ambayo hayajaenda shule ndio yanakuja kutusumbua huku mtandaoni ma habari za upotoshaji . Hivi mtu kabala hujaandika kitu huwezu hata kujihoji?

Dah mbona makasiriko.

Au kwakuwa haupo kwenye List ya wachangiaji bora.😎😎😎
 
Dah mbona makasiriko.

Au kwakuwa haupo kwenye List ya wachangiaji bora.😎😎😎
Hii mada yako haina usahihi mkuu. watu wote duniani wapo katika magroup matano tu A, AB, B 0 , na Group Nadra. Sasa kivyovyote wewe watu unaofanana nao blood group ni wengi sana kwahiyo hoja yako haina mashiko
 
Hii mada yako haina usahihi mkuu. watu wote duniani wapo katika magroup matano tu A, AB, B 0 , na Group Nadra. Sasa kivyovyote wewe watu unaofanana nao blood group ni wengi sana kwahiyo hoja yako haina mashiko

Okay sawa Daktar.

A na A na mtoto akatoka B, AB au O ndio utajua ina mashiko.

Mtoto akifanana na mzaz mmoja wapo sion haja ya kwenda kote huku.

Ila mtoto hajafana na wazazi.
DNA ina process na mke anaw
eza akanzisha visa

Unatega siku. Unampima mtoto. Hapo ushajua group lako na la mweza wako.
Unakaa kimya bada ya majibu.

Kama unahisi mtoto
sio wako ila kabeba same pair ya blood group kama ww . Bas ni bahat mbaya ..omba dna kwa uhakika zaid.
 
Back
Top Bottom