Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Aje Ajibu HojaCjaelewa mama 0 (AO) NDIO NN
Blood group ziko pair .Cjaelewa mama 0 (AO) NDIO NN
LETE MANENO...Kama mama A+ baba B+ mtoto A+ imekaaje hapa?
NakaziaMtoto akizaliwa ndani ya familia mkubabali tu ni wa kwako.
Hizo mbwembwe za kuchimba ukweli mtakuja mfe.
Ukute na wewe sio mtoto wa baba yako
Blood group ziko pair .
Ukiwa na A+ ina maana umebeba blood group AA au AO.
Ila A ni dominant hivyo inaitwa blood group A.
Kwahiyo kama ww ni A.
Basi mama itakuwa ana AA na Baba ana O au AO au AB.
Baba yako hawez kuwa ni B+.
Kwasababu A+ haina pair ya B hata moja.
πππππ€£π€£π€£πππ€£π€£ππKupigwa ni kujitakia tuu.
Tunasema kujiendekeza.Yaani mtoto asiwe wako usijue sasa utakuwa unajua Jambo gani kwenye huu ulimwengu.
Ninachojua wanaume wengi wanajua huyu mtoto sio wangu ila wanakausha. Ila kusema hawajui ni kuwatukana
Ikitokea una Baba A + Mama A + mchepuko wa Mama A(baba wa mtoto)
Utajuaje kama mtoto sio wa kwako
Hii njia sio ya kaaminika mkuu, kwanza ni uongo. Watu wengi ni group 0 na A dunia nzima, AB ni 0.01β ya watu wote. Hivo ukiwa wew A na mchepuko wa mkeo A na mke A. Hapo mtoto n A, je huyo mtoto atakuwa wako???Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
- A au AO
- B au BO
- AB (au A na B)
- O
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba pair moja kutoka kwa Baba na moja kutoka kwa Mama.
Mfano Baba ni AB+ na Mama ni A+
Basi inakuwa hivi
- Mama A + baba A = A
- Mama A + baba B = AB
- Mama O (kama AO) + baba A =A
- Mama O (kama AO) + baba B = B
Kwahiyo mtoto atakuwa na blood groups: A, B, AB
Na si vinginevyo.
Kama Baba ni A+ na Mama ni A+
Inamaana ni AA kwa Baba. A AA kwa Mama Bas hamuwez kuwa na mtoto blood group tofauti na A.
Akiwa B au O bas jua Baba sio ww.
Madaktar na wale mabingwa wataongezea.
NB : Wale wenye madukuduku na masononeko ya kulea mtoto ambaye huna uhakika nae hasa wa nje.
Try at your own risk.ππππ
Ukiwa na Blood grp O
Pair nyingine ni ipi?
π€£ππ€£ππππ€£ππ€£πππHapa Bila Shaka Tutapata Uelewa MpanaHii njia sio ya kaaminika mkuu, kwanza ni uongo. Watu wengi ni group 0 na A dunia nzima, AB ni 0.01β ya watu wote. Hivo ukiwa wew A na mchepuko wa mkeo A na mke A. Hapo mtoto n A, je huyo mtoto atakuwa wako???
Maana yake kama majibu yatakuwa mtoto siyo wako basi jibu ni sahihi kwa asilimia 100 ila kama majibu ya group za damu yataonyesha mtoto ni wako basi hapo inawezekana ikawa WAKO au LA ..hivyo hiyo njia ina mambo mawili..Ikitokea una Baba A + Mama A + mchepuko wa Mama A(baba wa mtoto)
Utajuaje kama mtoto sio wa kwako
Hii ndio rahis sana kujua.
O blood group means OO ndio iko dominant.
Hivyo lazima baba awe na O na mama awe na O.
OO kwa wazaz wote.
Ila Mama O.
Akakutana na Baba A.
Mtoto anaweza toka AO au A.
ikitokea A imekuwa dominant basi blood group ya mtoto inakuwa A.
Ila hawawez toa AB au B blood group kwasababu B haiko kwenye pair ya mzaz hata mmoja.