Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
Unauhakika hawawez kuzaa group O au unabishia uzoefu?Hawawez kuzaa O group.
Pia hii ni njia nyongeza tu.
Ni sawa Baba mweusi ila Mama mweupe na kazaa mtoto mweupe anayefanana na Mama.
Utaomba DNA?.
Kama kazaliwa kwenye ndoa unakausha tu huku unaanza upepelezi wako na unaweza kuanzia kwenye blood group.
Kwakwel shule muhimuBaba A na mama B
Ina maanisha hizo ndio ziko dominant hivyo hawawez toa group O
Hii kitu uwezekano wa kuchapiwa ni mkubwa sana.Mtoto ni wako.
Mama A ao AO
Baba B au BO
Hiyo O ni recessive . Iko tu kukamilisha pair na sio dominant.
Mtoto atatoka group A , group B au group AB.
Ila hawez toka group O.
Maana wenye Group O means O ni dominant kwahiyo lazima mzaz mmoja wapo awe na Group O.
Blood group haikupi conclusive evidence kwamba mtoto ni wako, kwa sababu hata mtoto ambaye si wako ambaye baba yake ana blood group kama yako atakuwa na blood group inayotakiwa kuwa ya baba mwenye blood group yako.Ukiacha DNA test ambayo ni ghali na yenye process nying.
Unaweza kujua Kama mtoto ni wako au umesingiziwa kwa kutumia Blood group.
Iko hivi.
Blood group ziko 4.
- A au AO
- B au BO
- AB (au A na B)
- O
Zinaweza zikawa positives au rare case negative blood group.
(Rhesus factor)
Kila mtu anabeba pair moja kutoka kwa Baba na moja kutoka kwa Mama.
Mfano Baba ni AB+ na Mama ni A+
Basi inakuwa hivi
- Mama A + baba A = A
- Mama A + baba B = AB
- Mama O (kama AO) + baba A =A
- Mama O (kama AO) + baba B = B
Kwahiyo mtoto atakuwa na blood groups: A, B, AB
Na si vinginevyo.
Kama Baba ni A+ na Mama ni A+
Inamaana ni AA kwa Baba. A AA kwa Mama Bas hamuwez kuwa na mtoto blood group tofauti na A.
Akiwa B au O bas jua Baba sio ww.
Madaktar na wale mabingwa wataongezea.
NB : Wale wenye madukuduku na masononeko ya kulea mtoto ambaye huna uhakika nae hasa wa nje.
Try at your own risk.ππππ
Kazi Sana Sana Mwaka Unaisha Na PressureHii kitu uwezekano wa kuchapiwa ni mkubwa sana.
Labda uhakikishe wewe ni A uoe A, au B uoe B kwisha
Kuna wale jamaa West Africa wanamuweka mtoto kwenye zizi la ng'ombe! Kama sio damu ya ukoo aisee Ng'ombe dume zinashughulika naye balaaSisi tulikuaga na matambiko ya ukoo sikuizii / elimu usasa unafanya tuna acha Mila na desturi nzuriii...mfano sisi ndio tumeachana na tamaduni za ma Babu zetu...unajua hata hizi miti zinaongea
Haya majamaa ambayo hayajaenda shule ndio yanakuja kutusumbua huku mtandaoni ma habari za upotoshaji . Hivi mtu kabala hujaandika kitu huwezu hata kujihoji?
Hii mada yako haina usahihi mkuu. watu wote duniani wapo katika magroup matano tu A, AB, B 0 , na Group Nadra. Sasa kivyovyote wewe watu unaofanana nao blood group ni wengi sana kwahiyo hoja yako haina mashikoDah mbona makasiriko.
Au kwakuwa haupo kwenye List ya wachangiaji bora.πππ
Hii mada yako haina usahihi mkuu. watu wote duniani wapo katika magroup matano tu A, AB, B 0 , na Group Nadra. Sasa kivyovyote wewe watu unaofanana nao blood group ni wengi sana kwahiyo hoja yako haina mashiko
Kuongea ukiwa na mzimu au mti wenyeweSisi tulikuaga na matambiko ya ukoo sikuizii / elimu usasa unafanya tuna acha Mila na desturi nzuriii...mfano sisi ndio tumeachana na tamaduni za ma Babu zetu...unajua hata hizi miti zinaongea