Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
PamojaSawa.
Acha wafanye maendeleo. Mwafrika atazamia tu na kuanzisha harakati za haki sawa, haina shida.Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea ya vikwazo chungu mzima, Iran ya vikwazo chungu mzima dhidi ya mataifa ya Kusini mwa Jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania...
Mtu mfupi anaweza kumsaidia mtu mrefu kushika paa ?Mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.Mtu mweupe bila mtu mweusi,dunia angeiona ngumu.Ndio ukaona mtu mweusi,anamsaidia sana mtu mweupe,kwa vile mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.
Halafu baadae zinaanza hashtags end racism, black lives matterAcha wafanye marndeleo. Mwafrika atazamia tu na kuanzisha harakati za haki sawa, haina shida.
Changamoto ni nyingi sanaSasa,mtu mweupe anawaza maendeleo. Mweusi,yupo JF anawaza kula tunda kimasiahara. Hawa watu wataendana?
Viongozi wetu Kila siku wanazurura huko kuomba msaada huku tuna Kila kitu kutufanya tuwe juu.Yani ni matatizo.
Kinjeketile Bokero na sultani Mangungo ndio baba za watu weupeMtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe. Mtu mweupe bila mtu mweusi,dunia angeiona ngumu.Ndio ukaona mtu mweusi, anamsaidia sana mtu mweupe, kwa vile mtu mweusi ndio baba wa mtu mweupe.
Yamejaa teleeYani ni matatizo.
Ilipigwa vikwazo ikapoteana wakati ina madini muhimu na yanayo hitajika dunianiViongozi wetu Kila siku wanazurura huko kuomba msaada huku tuna Kila kitu kutufanya tuwe juu.
Mfano mdogo tu angalia ndugu zetu Zimbabwe alivyopgwa vikwazo Hali iliyowakuta
Bado tunawinda ngiri mpaka sasaGap kubwa lililopo kati yetu na wao ni MUDA tu. Wenzentu wao walitutangulia kujanjaruka na kuziona fursa na rasilimali wakati sisi tunawinda ngiri porini.
Na kuhuzunisha piaDuh! kwa hakika inashangaza.
Ni vitu gani mnavyo fanana navyo na North Korea ambavyo mkitandikwa vikwazo vyake mtasimama kama yeye ?North Korea ma Tanzania maisha yanafanana labda ungesema iran