Kutambua uwezo wa akili kati ya mtu mweusi na mweupe angalia Korea Kaskazini na Iran dhidi ya Mataifa ya Afrika

Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.

Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.

NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Msingi wa hoja yako au hoja zako zinategemea mawazo ya uwongo, kubuni, na zimejaa lugha ya Ubaguzi- Sharti ulikuwa Ukemewe na sio kufanya mjadala.

Mawazo yako na hoja za wengi waliokufuatia, zikiwa na msingi mbovu, wa uwongo na wa kibaguzi, zinatia kinyaa na kukera na haziheshimu watu wa Jamii ya Mwafrika, mtu ambaye unajinadi kumjali na kumtakia mema.

Pamoja na kuwa maoni ni yako mwenyewe, sikubaliani na msingi wa hoja yako kuwa Mwafrika hana uwezo kiakili kukabiliana na changamoto alizokuwa nazo, au ambazo Nchi kama Iran na Korea ya Kaskazini wanazipitia.

Maoni hayo yamejaa uwongo, fitina , nongwa, madhalilisho na matusi makubwa kwa Jamii ya Mwafrika na hususani Mtanzania.

Kiuhalisia, Mjadala huu ulitakiwa ufungwe mara moja kwani hauchangii mijadala wowote chanya Tanzania au hapa JamiiForums na badala yake unachangia kujenga uhasama, chuki na uhasama baina ya Jamii za Watu, makundi ya Watu, na hata baina ya Nchi, kiufupi hakuna jambo mjadala huu unajenga.

Ulaaniwe.
 
Alaniwe kwa lipi wakati kaeleza Ukweli . Afrika tuna rasilimali Chungu nzima lakini tunaongoza kwa ufukara uliokithiri pamoja na madeni makubwa ambayo hayalipiki.
Mtoa Mada yupo sahihi ila Viongozi wengi wa afrika ni vibaraka, walafi, wasaliti, uwezo mdogo wa kiutendaji, wananunulika kwa vipande vya sarafu, waongo, wabinafsi.
Afrika ukiwa kiongozi unayejitambua wanakuundia zengwe na kukuua .
Ref. Patrice lumumba, Thomas sankara , NKwame nkurumah , col muammar Gaddafi, Robert Mugabe walichoifanyia nch Yake, hapa Kwetu JPM kilicho mkuta.
Kwa hiyo uafrika ni kazi Sana tuishi nao tu Hivyo Hivyo kwa sababu tumejikuta humo.
 
Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.

Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.

NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Aisee, hii ni fedheha kwa Watanzania.

JamiiForums imeishiwa.
 
Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.

Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.

NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Nadhani watu weusi tuna shida katika akili zetu.
 
Mfumo wa maisha ya kila siku tuliyojiwekea haufanyi akili zetu kutumika ipasavyo. Mfano: katika uongozi mtu mwenye akili na maarifa zaidi haaminiwi kuongoza wengine lakini ambaye hana anaaminiwa kwa sababu labda ni maarufu, anajulikana, maslahi ya watu wanaomzunguka na n.k.

Pia wakati mwingine mwenye akili na maarifa anaweza kupata uongozi lakini inabidi ajitoe ufahamu au akili ili aweze kuwa sawa na wanaomzunguka wasio na uwezo wa kuridhisha na ukikahidi kuendana na hao wengine basi wanaweza kuungana kukufanyia lolote baya.

Wenzetu wapo mbali kwa sababu kwa asilimia kubwa wameweka mfumo wa kuwalinda wenye akili na maarifa wakiamini wataongozwa kufikia malengo yao.
 
Watu weupe kumaanisha kina nani hasa? Unafahamu hao uliowataja sio watu weupe bali ni Ethnicity mbili tofauti. Hao uliowataja ni kuna Asians na Arabians. Then kuna Europeans(watu weupe) na Indians(Brown people) ni Asians lakini hawatambuliki kama Asians. Then kuna Indians(Native Americans). Alafu kuna Africans(Watu weusi, Waafrica).

First of all, Nchi, Taifa, Bara, Watu hawawezi kuendelea(develop) bila Changamoto za kutatua. Ubongo wa binadamu unahitaji Challenges ili uweze kudevelop. Lakini ukiangalia Africa hatuna changamoto zozote kutoka nje ya bara letu. Hivyo lazima tubweteke tu.

Hao jamaa hivyo vikwazo walivyowekea ndio vinafanya watafute njia nyingine za kusurvive hence wewe kusema wana akili. But no. It's just a matter of being at the right time at the right position/place.

Let me make it even simpler.
Mtu akisikia njaa lazima atanyanyuka na kuhangaika kutafauta chakula au njia za kuzalisha na kutengeneza chakula. Challenge = Brain Usage = Akili/Intelligence Development. Otherwise kwanini uhangaike kama chakula kipo muda wote na hausikii njaa?

Except changamozo zetu zimeishia kwenye chakula na maji tu na hata hivyo sehemu kubwa ya Africa chakula kimejaa misitu mikubwa na miti mingi ya matunda bahari, mito na maziwa. Wao zimeendelea kuanzia kwenye Mazingira makali ya baridi, Hali ya hewa, Ukame, Ugumu wa kupata chakula, Vita za wenyewe kwa wenyewe na nje, na hali ya kushindana wenyewe kwa wenyewe.

Mfano mzuri ni kwamba njia pekee ya Africa kufanikiwa ilikuwa ni kupambana na wakoloni kipindi cha ukoloni, kama tungeshinda basi tungeona umuhimu wa kuendelea ili wale mafala wasijaribu kutuchezea tena. Tungeanzia kwenye kuboresha jeshi, mbinu za kijeshi hadi silaha za kisasa za kivita. Na huko ndipo maendeleo ya Taifa na bara kiujumla huanzia.

Lakini no, watu wa kipindi hicho walikubali kuwa watumwa na kushindwa vita, hivyo hatukuwa threat kwa ethnicity nyingine na wakawatumia walivyotaka kuchota rasilimali then wakawaacha baada ya kupata walichotaka na kuondoa ile hali ya sisi kushindana nao, sababu watu wa kipindi hicho walionyesha kuwa inferior na kushindwa tayari na ile mindset ya kushindwa nahisi ipo hadi leo, ikiwemo wewe mleta mada kuamini ethnicities nyingine zina akili kuliko wewe. Kilichobaki ni kujiprove right kwamba inawezekana kwa Africa kuendelea kwa kuanzia na serikali kuwekeza kwenye Technology na Computer kwa vijana wadogo. Lakini ndio hivyo mama Samia Rais wa nchi anatupa Mamilioni kwenye bet za mpira na michezo isiyo na faida yoyote long term kama Taifa zaidi ya furaha na mabishano ya masaa machache. Shaking my head.

Kuna mada niliandika kuhusu hichi kitu. Hapa naona sitomaliza kuandika.

Sent from my G011A using JamiiForums mobile app
 
Sasa, mtu mweupe anawaza maendeleo. Mweusi, yupo JF anawaza kula tunda kimasiahara. Hawa watu wataendana?
Ngoja nikwambie kitu. Unafahamu kwamba asilimia ndogo tu ya North Americans, Europeans au Caucasians (Wazungu Kiujumla) ndio wanahusika na maendeleo yao yote kiujumla? Ni asilimia 5% au 10% pekee ya caucasians ndio wanahusika na vyanzo vya maendeleo yote Kitechnologia, Kiuchumi na kiujumla. Na waliobaki wote ni consumers au wananchi wasio kua na moja wala mbili. Ni kama wanaJF humu. Kuna wapumbavu, wenye akili kiasi na maboya kabisa. Au wewe unadhani wale wazungu vichaa wa kiume wanaojiita wanawake wanawaza maendeleo? au wale wanawake vichaa wakizungu wanaojiita wanaume wanawaza maendeleo? BIG FUKKING NO.

Ni kama vile unavyosema Nchi inaongozwa na Kiongozi mmoja tu na team yake ya watu wachache tu. Wengine wote waongozwaji.
Mimi Youtube Feed yangu imejaa content za nje na sikia nikiwambia kwa asilmia kubwa hakuna watu wajinga na wapumbavu kama wazungu. Kuna baadhi ukibishana nao unaona wana akili angalau kidogo na kuna wengine ni maboya kabisa wasio jua wanachokisema. Mimi binafsi nasema hakuna mzungu anayeniweza kwenye debate yoyote.

Tusiwaweke kwenye pedestal hao wajinga kwa sababu ya maendeleo ya Kiujumla ya Nchi zao ambazo zinaongozwa na watu wachache wenye akili na wanaojua wanachokifanya.
Haya ni matokeo ya Halo Effect.

Kwamba kusini mwa jangwa la sahara hakuna changamoto au sio ?

Una miaka mingapi ?
 
Hivyo nyie hata hao watu wachache wenye akili hakuna kabisa.
 
Mtu mweusi akiingilia ndoa ya watu isiyo muhusu [emoji16]
20231001_104730.jpg
 
Back
Top Bottom