Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Nchi za watu weusi zina vikwazo kuliko hizo Irani na Korea. Sema haviko wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania inazalisha vijana wanaokula matunda kimasihara. Uliwahi sikia kitu kama hicho North Korea?Kwamba Tanzania imeweza unda chochote hata risasi?
Wanangu wote ni wazima kichwani.hata katika familia yako
Kikwazo kikubwa ni akili.Nchi za watu weusi zina vikwazo kuliko hizo Irani na Korea. Sema haviko wazi
Hongera!Wanangu wote ni wazima kichwani.
Kikwazo kikibwa ni akiliNchi za watu weusi zina vikwazo kuliko hizo Irani na Korea. Sema haviko wazi
Wote tuna akili na uwezo sawa ,shida ipo kwenye misingi mibovu ya utawala toka tumetoka mikononi mwa tawala za kikoloni na umimi ( ubinafsi) uliotawala nafsi za watu weusi.Ukitaka kutambua utofauti wa uwezo wa akili baina ya mtu mweusi na mweupe.
Tazama namna North Korea yenye vikwazo chungu nzima, Iran yenye vikwazo chungu nzima dhidi ya mataifa ya kusini mwa jangwa la Sahara usiisahau nchi ya Tanzania.
NB: Napo sisitiza kuwa uwezo wa kiakili wa mtu mweupe haupo sawa na wa mtu mweusi tuwe tunaelewa.
Nitajie miji kumi duniani inayo ongoza kwa hewa safi ?Siropoki kama wewe. Hewa safi inapimwa kwa AQI (Air Quality Index). Na Tz yote AQI ni ya hali ya juu sana, ikiwa mojawapo ya kivutio cha wageni toka nchi zenye hewa chafu kuja hapa ku 'refresh'.
Kama vikwazo vya akili sawa ila ukienda nje ya hapo ni kuendelea kuonesha watu weusi na weupe hatupo sawa kiakiliNchi za watu weusi zina vikwazo kuliko hizo Irani na Korea. Sema haviko wazi
Mbumbumbu hawezi mtawala mtu mwenye akili lazima atakataa. Tanzania wote mbumbumbuTanzania ina watu wenye akili sana, ila wanatawaliwa na watu mbumbumbu waliojificha kwenye chama chenye kuvaa kijani na njano wanaoamini katika kusifu na kuabudu upuuzi kwa kisingizio cha uchawa.
Huo ndio utofauti wa akili wenyewe huwezi sema tupo sawa wakati wao wanafanya hivi sisi tunafanya hivi hapo hatuwezi kuwa sawa hata kidogoWote tuna akili na uwezo sawa ,shida ipo kwenye misingi mibovu ya utawala toka tumetoka mikononi mwa tawala za kikoloni na umimi ( ubinafsi) uliotawala nafsi za watu weusi.
Irani na Korea Kaskazini Viongozi wako madarakani wanatumia resources za nchi wanatengeneza miundombinu ambayo itamfaidisha kila mwananchi...kama barabara nzuri,mifumo ya nishati endelevu,mahospitali ya maana,mashule yenye elimu bora kabisa ,mifumo ya umwagiliaji kiasi ya kwamba wanalima mwaka mzima pasipo kutegemea mvua,hivi vyote anayenufaika sio kiongozi ni Taifa zima kwa ujumla wake.
Viongozi wa Kiafrika unawapa madaraka cha kwanza kabisa ni kuhakikisha anatajirika yeye na familia yake,kisha ukoo na kijiji chake,hakuna mipango ya muda mrefu inayofanyiwa uwezeshaji timilifu na wala hakuna sera inayombana kiongozi aliyopo madarakani kusimamia mipango yote ya muda mrefu iliyoachwa na mtangulizi wake.
Hata siyo akili. Vikwazo hivi hivi vya kiuchumi. Mnalazimishwa kuingiza demokrasia, bidhaa zenu zinathaminishwa chini, mnalazimishwa soko huria nk. Wachache wanaotaka kujikwamua kama wakina Patrice Lumumba, Sankara, Gaddafi na JPM wanakiona cha mtema kuni. Afrika yote ipo kwenye vikwazo vikali sana.Kikwazo kikibwa ni akili
[emoji23][emoji23]Sasa, mtu mweupe anawaza maendeleo. Mweusi, yupo JF anawaza kula tunda kimasiahara. Hawa watu wataendana?
Ukweli ndo huo. Mtu akili zake ni kuchakata papuchi, ni msokolokwinyo, ni kula demu mkali,ni kutembea na mke wa mtu,atapata wapi akili na mda wa kuwaza maendeleo. Wenzetu huko,watoto wawili,tosha. Kwetu huku,kila mkoa kuna mtoto. Ukiambiwa toa matumizi,watu hupotea mazima. Na hao ndo wa kuleta maendeleo?[emoji23][emoji23]
Acha chuki wewe , leteni ushahidi wa hayo mnayoyasema.Kama kuua watu na kupiga risasi watu ni Mafanikio Basi alikuwa sahihi
Inafikirisha Sana
Sema wewe ndio huna Akili.Kama vikwazo vya akili sawa ila ukienda nje ya hapo ni kuendelea kuonesha watu weusi na weupe hatupo sawa kiakili
Raisi Samia ni MtanzaniaMbumbumbu hawezi mtawala mtu mwenye akili lazima atakataa. Tanzania wote mbumbumbu
Alichafua sana miji kwa kutoa uhuru kwa machinga.
Tafuta mwenyewe hizo data za miji 10, wewe si mwerevu unayedharau watu weusi, unayeimba wimbo wa kina Hitler na kaburu P.W.Botha.Nitajie miji kumi duniani inayo ongoza kwa hewa safi ?
Isije ikawa tunaongea na wapuuzi humu